Series (Special thread)

Series (Special thread)

Bwana mmoja ana saka zake Mali (treasure hunting) kwenye miji iliyo haribiwa. Baadae anapewa misheni ambayo yeye anaenda akijua ni misheni aliyo ambiwa kumbe anajikuta katikati ya vijana kutoka kwa mzee wa ma vodka Russia hapo ndo mtiti unapo anzia. Katika harakati zake hizo anajikuta kwenye karakana Fulani n baadae anagundu kuwa misheni ilikuwa ya kuzuia BOMU lisiangukie mikononi mwa watu wasio husika.

BOMU Hilo kwa mujibu wa story teller anadai yaliundwa mawili tu huku Moja lilitumika miaka mingi iliyo pita na USA kuangamiza miji Fulani huko kwa wavimba macho.
hii inaonekana nzuri, namna napenda hekaheka..!🙌🏾
shukrani sana mkuu..!
 
Eti Vincenzo Jr wewe ndo ungekuwa Joel ungeweza kuishi na Ellie kama binti yako ilhali dunia haieleweki ilivyo?

dosho12 wewe ungeweza hiyo hali kweli?

Mr Q vipi kwa upande wako?

Na wewe Carleen ungeweza kuishi na Joel kama baba yako kwa muda wote huo?

Haki ya nani director amezingua sana aisee, kwanza ni uongo mtupu na kiuhalisia ni jambo lisilowezekana.

Sitaki kuwa mnafki, binafsi nisingeweza aisee 😂🙌

Khalas 😂
 
Inaitwaje?
 
Ningeweza mkuu kumbuka hapo mwanzo pia nilikuwa na Binti mwenye umri kama wa Ellie na alivyofariki mkononi mwangu nilipata insomnia relief aisee kwa hiyo Ellie ni kama Binti yangu aisee nilimpoteza Binti wa mwanzo hapo lazima Ellie nimlee na kumlinda kama mwanangu
 
wanadai nia ilikuwa kupunguza pia idadi ya vijana, sababu we all know vijana wasio na ajira wakizidi mitaani while maisha magumu nini huwa kinatokea, ndiyo maana mwishoni ilibidi iwe vile kwa yule dictator..!
Exactly 💯 mwanangu 😎

Vipi ulivyo icheki haukushtuka mwanangu maana wale wana walikuwa wanawala sana wenzao vichwa 😀 😀
 
Eti Vincenzo Jr wewe ndo ungekuwa Joel ungeweza kuishi na Ellie kama binti yako ilhali dunia haieleweki ilivyo?

dosho12 wewe ungeweza hiyo hali kweli?

Mr Q vipi kwa upande wako?

Na wewe Carleen ungeweza kuishi na Joel kama baba yako kwa muda wote huo?

Haki ya nani director amezingua sana aisee, kwanza ni uongo mtupu na kiuhalisia ni jambo lisilowezekana.

Sitaki kuwa mnafki, binafsi nisingeweza aisee 😂🙌

Khalas 😂
Ningeweza ndio, kama alivyosema Vincenzo Jr (shekh khalid ) 😁, jamaa bado ana yale majuto ya kutomlinda mwanae hivyo alivyokutana na mtoto kama mwanae akapata ile hali ya kutaka kumsaidia na kumlinda kama mwanae, japo kuwa dogo ni mbishi ila anamuheshimu, kumwamini na kumpenda sana joel
 
Ningeweza mkuu kumbuka hapo mwanzo pia nilikuwa na Binti mwenye umri kama wa Ellie na alivyofariki mkononi mwangu nilipata insomnia relief aisee kwa hiyo Ellie ni kama Binti yangu aisee nilimpoteza Binti wa mwanzo hapo lazima Ellie nimlee na kumlinda kama mwanangu
Nakataa 😂

Kama Tess angekuwa hai hapo sawa, nilihisi unaweza tumia hiyo sababu ila kwenye mazingira ya uhalisia hili jambo ni gumu, wanaume tunajuana 😂😂🙌
 
Ningeweza ndio, kama alivyosema Vincenzo Jr (shekh khalid ) 😁, jamaa bado ana yale majuto ya kutomlinda mwanae hivyo alivyokutana na mtoto kama mwanae akapata ile hali ya kutaka kumsaidia na kumlinda kama mwanae, japo kuwa dogo ni mbishi ila anamuheshimu, kumwamini na kumpenda sana joel
Dah! Haya ngoja ninyamaze tu 😂🙌
 
Eti Vincenzo Jr wewe ndo ungekuwa Joel ungeweza kuishi na Ellie kama binti yako ilhali dunia haieleweki ilivyo?

dosho12 wewe ungeweza hiyo hali kweli?

Mr Q vipi kwa upande wako?

Na wewe Carleen ungeweza kuishi na Joel kama baba yako kwa muda wote huo?

Haki ya nani director amezingua sana aisee, kwanza ni uongo mtupu na kiuhalisia ni jambo lisilowezekana.

Sitaki kuwa mnafki, binafsi nisingeweza aisee 😂🙌

Khalas 😂
Sijaitazama hii series bado mkuu wangu..!!🙏
 
IMG_3504.jpeg

wame rate sawa sawa..!? kwa wana mliotazama hivi vigongo vyote..!??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom