Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,729
Bado ipo cinema kakaInakaribia kuachiwa. Vincenzo Jr anaweza kuleta majibu
Bado ipo cinema kakaInakaribia kuachiwa. Vincenzo Jr anaweza kuleta majibu
Chase infiniti ni mkali sanaMwanangu hiyo movie Ina watoto wakali sana kina teyana Taylor kina chase infiniti, regina hall
Ifunge na foilNi router tu ila kwenye laini ya kawaida ipo fresh ila wanazingua sana aisee nashindwa kuenjoy Leo dah!
Itazame mkuu, imekaa zaidi KUJIFUNZA kuliko kiburudani..!!Naona Long Walk inanishawishi kuishusha. Yeyote alieicheki mpaka sasa naomba atoe comment fellas.
Nimeangalia nusu nikaipaki pembeni kwanza. Nikahamia kwenye afterburn muvi ya 2025 baada ya hapo ntaangali safe house nayo ya 2025.Naona Long Walk inanishawishi kuishusha. Yeyote alieicheki mpaka sasa naomba atoe comment fellas.
Kulikuwa kama na katatizo ka uchumi na dystopian vijana hawana ajira wanashinda mtaani tu so ikatokea kama kishindano hivi mshindi atakaye patikana kwenye the long Walk anakula kibunda kirefu ukipenda kiite large cash prize 😂 😁 😃Naona Long Walk inanishawishi kuishusha. Yeyote alieicheki mpaka sasa naomba atoe comment fellas.
Kuna masta kwenye hiyo movie alifosi kujisaidia akaesabiwa sekunde 30 zilivyoisha parapaanda ikalia 😃😃Itazame mkuu, imekaa zaidi KUJIFUNZA kuliko kiburudani..!!
Yeah best seriesHii kali Sana, ina episode 2 Tu mpaka sasa
Hakuna 😃😃😃now ipo EP ya 6 hiviLast frontier hakuna mahali ilikovuja yote?
Nimeshachukua nne na kuangalia 3 kama zipo 6 ngoja niishushe na hizo 2 ili zikamilike 6Hakuna 😃😃😃now ipo EP ya 6 hivi
Shindano la kutembea Bila kusimama mahali popote huku gari la Askari lipo nyuma na mbele linawa-monitor, ukipunguza mwendo kutembea ama ukisimama unapewa warning mara 5 ama wanakushoot na risasi. Hakuna kusimama mwanzo mwisho, walikuwa wengiii Hadi mwisho akabaki mmoja Tu. Sio kali Naipa 5/10Naona Long Walk inanishawishi kuishusha. Yeyote alieicheki mpaka sasa naomba atoe comment fellas.
afterburn inahusu nini mkuu..!?Nimeangalia nusu nikaipaki pembeni kwanza. Nikahamia kwenye afterburn muvi ya 2025 baada ya hapo ntaangali safe house nayo ya 2025.
Hiyo afterburn nimeipenda
wanadai nia ilikuwa kupunguza pia idadi ya vijana, sababu we all know vijana wasio na ajira wakizidi mitaani while maisha magumu nini huwa kinatokea, ndiyo maana mwishoni ilibidi iwe vile kwa yule dictator..!Kulikuwa kama na katatizo ka uchumi na dystopian vijana hawana ajira wanashinda mtaani tu so ikatokea kama kishindano hivi mshindi atakaye patikana kwenye the long Walk anakula kibunda kirefu ukipenda kiite large cash prize 😂 😁 😃
Wazee wa kazi waliita competitive walking marathon
umeiwaza kwenye scenario ya maisha..!? the moment umeingia kwenye mkimbizano na mapambano ya maisha there’s no turning back, hakuna mapumziko, hakuna kurudi nyuma, ni either ukate tamaa ufe, ama upambane mpaka mwisho, ila bado mwendo ni ule ule kufa ndiyo njia yetu sote ya mwisho..! and it was more of psychological more than physical..!Shindano la kutembea Bila kusimama mahali popote huku gari la Askari lipo nyuma na mbele linawa-monitor, ukipunguza mwendo kutembea ama ukisimama unapewa warning mara 5 ama wanakushoot na risasi. Hakuna kusimama mwanzo mwisho, walikuwa wengiii Hadi mwisho akabaki mmoja Tu. Sio kali Naipa 5/10
Bwana mmoja ana saka zake Mali (treasure hunting) kwenye miji iliyo haribiwa. Baadae anapewa misheni ambayo yeye anaenda akijua ni misheni aliyo ambiwa kumbe anajikuta katikati ya vijana kutoka kwa mzee wa ma vodka Russia hapo ndo mtiti unapo anzia. Katika harakati zake hizo anajikuta kwenye karakana Fulani n baadae anagundu kuwa misheni ilikuwa ya kuzuia BOMU lisiangukie mikononi mwa watu wasio husika.afterburn inahusu nini mkuu..!?