Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hivi huko kwenu internet imetulia kweli maan mimi napata tabu kwenye streaming na download sipati Raha 😭😭😭
Pole sana..!
kwa nilipo mtandao upo wa kutosha na ninatumia line ya tigo..!!
IMG_3495.jpeg
 
ni wewe peke yako ama ni watu wote wa Kigamboni..!? ninavyoelewa kuwa Vodacom ndiyo wana mtandao bora zaidi, sasa kama router yao inazingua then ni maajabu..
jua kwanza chanzo cha tatizo ni nini kisha utafute suluhisho accordingly..!
Ni router tu ila kwenye laini ya kawaida ipo fresh ila wanazingua sana aisee nashindwa kuenjoy Leo dah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom