dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,700
- 9,850
Mi naongezea 1. Rings 2. Lights, na za wa indonesia kuna moja inaitwa Pemandi jenazah, inatisha ila imekaa kishekh mnoAhsante saw nimesha cheki zote. Ngoja muangalie hiyo ya kwanza trela yake
Mi naongezea 1. Rings 2. Lights, na za wa indonesia kuna moja inaitwa Pemandi jenazah, inatisha ila imekaa kishekh mnoAhsante saw nimesha cheki zote. Ngoja muangalie hiyo ya kwanza trela yake
mdogo wangu kajibu hivi;Naomba horror zitakazo chomoa moyo. Yani horror haswa. Design ya wrong turn hills have eyes na thrillers Yani nataka kustuka. Ukipata kama pia ziweke kwenye orodha
“Mwambie movie za zamani ndo zinatisha na majina nyingi sikumbuki movie za saivi majini wamechoka kutishia watu wana njaa na wamekata tamaa😂”Kesho ni mwendo wa kuzishusha
Nakubaliana nae muvi za saivi matumizi ya cgi na computer kwa ujumla yamezidi“Mwambie movie za zamani ndo zinatisha na majina nyingi sikumbuki movie za saivi majini wamechoka kutishia watu wana njaa na wamekata tamaa😂”
nimetuma kama ilivyoandikwa..!🙌
The exorcist zipo ngapi na niangalie ipi hasa. Nime search naona zipo kibaomdogo wangu kajibu hivi;
The exorcist
The conjuring 2013
The shining 1980
The texas chainsaw 1974
IT 2017
atazame hizo chache nishaacha kuangalia maana sioni cha ajabu wala cha kutisha tena.
dosho12
umeambiwa,The exorcist zipo ngapi na niangalie ipi hasa. Nime search naona zipo kibao
Yellowstone 😎 nilikuwa na download yenye 1080p kila ep Moja nilikuwa napiga gb 2Omg.. nimetoka kumaliza series ya 1923 🙌🔥🔥🔥
Itoshe kusema kwa mpenzi yeyote wa series hapaswi kupitwa na hizi.. kuanzia 1883, 1923 mpka Yellowstone.
Naanza na Yellowstone leo leo.
Ila kiukweli nimependa kila kitu kwenye hizi series.
Ile ina Anza kama Kuna Azana kutoka msikitini hivi kutoka msikitini au SIO hiyo kama ni hiyo SIO powa inatisha sanaumeambiwa,
The Exorcist III ya 1990..!
Halafu hii movie imekuwa inspired toka kwenye hotel inaitwa stanley ambayo anajulikana kwa kuwa na mizimu na mambo ya ajabu ajabu, ndio sehemu inayotisha zaidi marekani kwenye upande wa mahoteliThe conjuring 2013 tayari sasa nachukua hiiView attachment 3488353
najua hata ndugu yangu..!Ile ina Anza kama Kuna Azana kutoka msikitini hivi kutoka msikitini au SIO hiyo kama ni hiyo SIO powa inatisha sana
Hata mi nilishangaa kuona series ya kizungu kuwaisha season mpya mapema hivyo, mi nilijua hapo mpaka 2026 september hivi,Wakuu hii House of David imekuaje wameitoa tena season 2 mwaka huu, anyway naisubiri ikamilike ndio nianze kuishusha,
Tulsa King season 3 imetoka pia,🔥
nilijaribu episode ya kwanza ikanishinda mapema mno nikaachana nayo..! kweli tunatofautiana ladha..!Wakuu hii House of David imekuaje wameitoa tena season 2 mwaka huu, anyway naisubiri ikamilike ndio nianze kuishusha,
Tulsa King season 3 imetoka pia,🔥
Ni nzuri aiangalie tu utaipendanilijaribu episode ya kwanza ikanishinda mapema mno nikaachana nayo..! kweli tunatofautiana ladha..!
sasa hii season nzima naifanya nini mimi maskiini..!
😀😀😀😀najua hata ndugu yangu..!
mimi na mambo ya kutisha wapi na wapi..!??