Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,212
- 79,699
Asante kwa heads upUsichome bando ile singo inaitwa him ni horror mbovu sana
Ni vile tu natumia wifi kama ingekuwa bando la kawaida ningeifungulia kesi ya kunitapeli bando langu movie mbovu sanaAsante kwa heads up
NZuri sana hii pita na EP Moja tu utaisaka yote brotherFrom new version
m
Tafuta kimwana kwanza wa kugalagala nae mchangani. Halafu muangalie Ile shaka 2 halafu kazi mkaimalizie majini kama bichiboyzNgoja niende baharini kwanza kula mpepe na PC yangu nicheki series
😃😃😃Ile natazama nae usiku wakati wa kulala nasubiria baadae akirudi nicheki naeTafuta kimwana kwanza wa kugalagala nae mchangani. Halafu muangalie Ile shaka 2 halafu kazi mkaimalizie makini kama bichiboyz
Weka link mkuu nipite nayo hivi vitu shemeji yako huwa anavipenda sanaLeo bhana pitapita zangu nimekutana na hii movie apa azam tv😂😂 uyu dada anaongea 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 anachamba hadi mama mkwe wake😂 japo ni mcharuko jamaa kakuta mwanamke bado virgin.
Bongo movie ilikuwa zamani
Iyo nimeona tu kwenye Azam Tv lakin naimani ukiisaka kwenye library za movie utaipataWeka link mkuu nipite nayo hivi vitu shemeji yako huwa anavipenda sana
Naomba horror zitakazo chomoa moyo. Yani horror haswa. Design ya wrong turn hills have eyes na thrillers Yani nataka kustuka. Ukipata kama pia ziweke kwenye orodhaMwanenu Leo nilivyokuwa napiga vitu vizuri kule baharini si nakacheki hii horror inaitwa Vicious aloo nilitaka kukimbia niache na PC yenyewe kumbe kushtuka imepanda kichwani 😃😃View attachment 3488121
Friday the 13thNaomba horror zitakazo chomoa moyo. Yani horror haswa. Design ya wrong turn hills have eyes na thrillers Yani nataka kustuka. Ukipata kama pia ziweke kwenye orodha
Ahsante saw nimesha cheki zote. Ngoja muangalie hiyo ya kwanza trela yakeFriday the 13th
Hostel
Cannibal
Saw
Mtafute Carleen akupe list za mdogo wake, hyo unaweza kuangalia horror ukaona hii ndio yenyewe ila yeye anasema hamna kitu hapo 😅Naomba horror zitakazo chomoa moyo. Yani horror haswa. Design ya wrong turn hills have eyes na thrillers Yani nataka kustuka. Ukipata kama pia ziweke kwenye orodha