Series (Special thread)

Series (Special thread)

NERO THE ASSASSIN imetoka episode zote 8
 
Attachments

  • Screenshot_20251008_210019_OnStream.jpg
    Screenshot_20251008_210019_OnStream.jpg
    102.9 KB · Views: 15
Mambo mazuri sana.
I know what you did last summer
Nero the assassin
Task.

Ike ya kuangalia na mke ngoja kwanza mpaka nanilii anikubalie huyu bi dada anae tokea mara kwa mara hapa ndo niangakie nae
 
Movie: ANFINITY
Mwamba ambaye ni mwanajeshi msaafu anajikuta anamkuta mdada ambaye hamfahamu yupo kwenye Hali si nzuri anaamua kumsaidia japo huyo mdada anadai Hana kumbukumbu. Katika kuendelea kukaa na huyomdada mwamba anajikuta amefall in love kwa mtoto mzuri shida inakuja Kuna matukio yanaanza kutokea ambayo yanaanza kumuingiza mwamba kwenye matatizo kwa kitendo chake cha kuwa karibu na huyo mdada Je huyo mdada ni Nani? Na Nini kipo nyuma ya hayo matukio? Nimewaongezea hiyo pia kwenye list zenu Mr Q Carleen Vincenzo Jr dosho12
 
you’re always the best Chelsea mwenzangu..!šŸ™
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom