Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwa wenzetu mbona smoking ni kitu ambacho hakishangazi wana jamii? Kwa mfano ufaransa watoto wa kuanzia miaka 19 na kuendelea wanapuliza Moshi tu hadharani.

Wanakwambia life is hard smoking is easy
Tena hadi wanawake wanasmoke sana tu tena hadharan ila bongo akismoke barabaran anaonekana kakongoroka maadili
 
Mother of Dragon na A.K.A nyingine kibao kama hemed phd😂😂😂
Unakumbuka ile scene jon snow ameenda kumuona kwa mara ya kwanza, kwenye utambulisho akapewa utambulisho mrefu mno na kile kisichana, zamu ya jon snow alifaa kutambulishwa kwa sifa nyingi ila ser davos akasema tu "this is jon snow, he is king of the north" 😅
 
Jon Snow hachekeshi apo minuno tu kamanda yule tena hajali kabisa yule mwamba
 
Naona kitu kama heist humo.

Naomba unikumbushe Ile movie solder mmoja anaachishwa kazi kwa Sababu maboss wanaona ana injury baadae anakutana na wenzake wanaenda kupiga tukio kwenye nyumba ya drug dealer wanacha wamechoma nyumba.

Kivumbi kinakuja helicopter walizo bebea hazikuweza kubeba mzigo wote...
 
Poleni na mkata switch ila
The Americans ilinishinda
Penguin ilinishinda
Primeval ilinishinda
Homland ilinishinda
Peaky blinders ilinishinda

Nyie mmeweza vipi kuzipenda?

Now nasonga na untamed nakula utalii pamoja na detectives
Homeland uliishia season? Kama ulitazama mpaka character ya Nicholas Brody alipouliwa sio mbaya.
Zile first 2 seasons jamaa alikiwasha sana.
The Americans nayo kali ila sikuimaliza.
 
Naona kitu kama heist humo.

Naomba unikumbushe Ile movie solder mmoja anaachishwa kazi kwa Sababu maboss wanaona ana injury baadae anakutana na wenzake wanaenda kupiga tukio kwenye nyumba ya drug dealer wanacha wamechoma nyumba.

Kivumbi kinakuja helicopter walizo bebea hazikuweza kubeba mzigo wote...
Triple Frontier. Bonge moya la movie
 
😎
Screenshot_20250913-095546.jpg
 
Unakumbuka ile scene jon snow ameenda kumuona kwa mara ya kwanza, kwenye utambulisho akapewa utambulisho mrefu mno na kile kisichana, zamu ya jon snow alifaa kutambulishwa kwa sifa nyingi ila ser davos akasema tu "this is jon snow, he is king of the north" 😅
Sema yule demu(Missandei) binafsi nimemuona ndiyo pisi kali kuliko zote aisee na ile rangi ndo kabisaaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom