[emoji23][emoji23]kale katoto kalikuwa kadogo sana kalikuwa katoto ka mkuu wa CIA kwa nchi nyingine, kale Philip alikuwa hataki kukala kenyewe kapo hot muda wote kanautaka mchizi anakakwepa.
Sema ile kazi haiitaji wivu aseee yule Elizabeth kapigwa miti kwenye kufatilia intel pia Phillips kapeleka sana moto kwa wadada kuna yule hadi aliolewa kabisa na Best maid alikuwa(Elizabeth) sasa imagine mkeo halali anakuwa pembeni ya mwanamke unaemuoa ili upate taarifa za kipelelez, ile movie nyoko[emoji1430]