Series (Special thread)

Series (Special thread)

kale katoto kalikuwa kadogo sana kalikuwa katoto ka mkuu wa CIA kwa nchi nyingine, kale Philip alikuwa hataki kukala kenyewe kapo hot muda wote kanautaka mchizi anakakwepa.

Sema ile kazi haiitaji wivu aseee yule Elizabeth kapigwa miti kwenye kufatilia intel pia Phillips kapeleka sana moto kwa wadada kuna yule hadi aliolewa kabisa na Best maid alikuwa(Elizabeth) sasa imagine mkeo halali anakuwa pembeni ya mwanamke unaemuoa ili upate taarifa za kipelelez, ile movie nyoko
Ha ha sasa si nao walioana kwa ajiri ya uspy, na Eliza hakumpenda Philip, yan walivyokutanishwa mara ya kwanza alikuwa disappointed.
 
Exactly 💯 brother hii series ni Kali sana
20230327_234712.jpg

Dracarys 🔥 🐲
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom