Series (Special thread)

Series (Special thread)

Screenshot_20250908-174324.jpg
 
Nimemalizana na Defending Jacob..

Ni kali sana, ila najiuliza mbona mwishoni wametuacha na maswali tunashindwa kuelewa km dogo ni innocent au la..
Ni innocent. Kosa lake pamoja na baba yake ni kukalia taarifa kwa kumhofia mafia. Hata ingekuwa wewe ungeenda kujiripoti wakati umekuta mwana mtandao Yuko hapo hapo polisi? 😁😁😁
 
Ni innocent. Kosa lake pamoja na baba yake ni kukalia taarifa kwa kumhofia mafia. Hata ingekuwa wewe ungeenda kujiripoti wakati umekuta mwana mtandao Yuko hapo hapo polisi? 😁😁😁
Kwenye kitabu walimaliza vizuri kidogo.. inaonekana baada ya ile ajali Jacob hakupona alipoteza maisha kabisa, ila mama yake alipona.. sababu ikaja kuonekana mama yake alifanya uamuzi ule kwa kutambua Jacob alikua guilty na hakutaka ile mystery iendelee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom