Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,795
Itafute 😎
Yule unanyonya kuanzia unyayoni mpaka pale kwenye _____Sema yule demu(Missandei) binafsi nimemuona ndiyo pisi kali kuliko zote aisee na ile rangi ndo kabisaaa.
Nilitamani nikamkate kichwa Grey Worm mkuu 😂Yule unanyonya kuanzia unyayoni mpaka pale kwenye _____
Mtoto mzuri sana huyuView attachment 3471185
Upo kama Mimi mkuu 😂 😃 😃Nilitamani nikamkate kichwa Grey Worm mkuu 😂
Huyu demu nikimuona kwenye movie hatakama haijanivutia naweza itazama kwa sababu yake tu 😂😂
Naunga mkono hoja kaka 😁, naongezea na yule mke wa rob stark (talisa)Sema yule demu(Missandei) binafsi nimemuona ndiyo pisi kali kuliko zote aisee na ile rangi ndo kabisaaa.
Sema yule demu(Missandei) binafsi nimemuona ndiyo pisi kali kuliko zote aisee na ile rangi ndo kabisaaa.
Sasa najiuliza jamaa akiwa na ngale mwili unareact vp yaani daaaah bora wakunyonge tu kuliko kukosa kifaa cha kaziNilitamani nikamkate kichwa Grey Worm mkuu 😂![]()
Huyu demu nikimuona kwenye movie hatakama haijanivutia naweza itazama kwa sababu yake tu 😂😂
Alikuwa anafurahi kipindi daenerys kaenda kuchoma kings landing yoteView attachment 3471192
Greyworm aliumia sana hapa nilifeel maumivu yake mshikaji
ser Bron of the blackwater "you will not find me in an army fighting if i have no cock, whats to fight for" 😅Sasa najiuliza jamaa akiwa na ngale mwili unareact vp yaani daaaah bora wakunyonge tu kuliko kukosa kifaa cha kazi
Sema na yeye nae baada ya kupenda ni kama vile alianza kuwa weakser Bron of the blackwater "you will not find me in an army fighting if i have no cock, whats to fight for" 😅
Kuna scene moja kwenye series ya hawkeye kulikuwa na fighting ya dare devil, echo na hawkeye, ilikuwa fighting nzuri sanaKwenye series zenye mauzauza nothing beats this one
View attachment 3471203
Naomba u confirm kwenye hiyo weapon mkuu, ni kweli kali? Tusije kuchoma mb.
😃😃😃Mambo yenu hayo
Ni nzuri sana mara ya kwanza niliifata cinema mara ya pili ndio nimeipakuwa Leo ikiwa na hd Kabisa 1080pNaomba u confirm kwenye hiyo weapon mkuu, ni kweli kali? Tusije kuchoma mb.
Story kali sana nilimpenda huyu demuKwenye series zenye mauzauza nothing beats this onKali
Mkuu kwenye hili nimekuamini, ngoja niishushe muda huu.. ila najua hapa kuiangalia mpaka weekend iishe!Ni nzuri sana mara ya kwanza niliifata cinema mara ya pili ndio nimeipakuwa Leo ikiwa na hd Kabisa 1080p
Pamoja mastaMkuu kwenye hili nimekuamini, ngoja niishushe muda huu.. ila najua hapa kuiangalia mpaka weekend iishe!