Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Ni yule nesi aisee acha tu mkuu 😂Naunga mkono hoja kaka 😁, naongezea na yule mke wa rob stark (talisa)
Ni yule nesi aisee acha tu mkuu 😂Naunga mkono hoja kaka 😁, naongezea na yule mke wa rob stark (talisa)
Mh nimeangalia trailer sijashawishika, sio mpenzi sana wa movies za gangsters and crimes au upelelezi yaani ni mara chache sanaaa,
Napenda Horrors zenye Vampires, Draculas, Werewolves, zenye kuchinjana mfano wa wrong turn na zombies kwa mbaaali ila sipendi za ghosts,
Napenda Historical wakina GOT, Troy, Wrath of Titans, Gladiators, Vikings, sasa hivi nipo kwenye Chief of WARS true story ya watu wa Hawaii, ila sipendi historia ya utumwa wa Afrika hua nachukia kuangalia,
Napenda Adventures na Fantasy, humo kuna actions kidogo, Sci-fi kidogo, comedy kidogo yaani mchaka mchaka flani ambao haupoi wala hauboi, hapa ndio hua makini sana kuchagua movies/series hua nasoma kwa utulivu story yake na kungalia trailer kabla sijajichanganya,
Napenda Animations sana
Yule sikutaka awe kwenye mahusiano na yeyote mule ila director akanikatili 😂😂😂Upo kama Mimi mkuu 😂 😃 😃
Mkuu nahisi mimi niliumia zaidi ya Grey worm 😂View attachment 3471192
Greyworm aliumia sana hapa nilifeel maumivu yake mshikaji
Atafanyaje sasa zaidi ya kunyonyeshwa tu 😂Sasa najiuliza jamaa akiwa na ngale mwili unareact vp yaani daaaah bora wakunyonge tu kuliko kukosa kifaa cha kazi
Mkuu hiyo Anal Angels ni movie mpya? 😂View attachment 3471229
EP ya 7 mpaka tarehe 16
Hiyo Kuna bidada kaniagiza nimdownlodie ikijaa aje kuifata 😎Mkuu hiyo Anal Angels ni movie mpya? 😂
Mateso kweli imagine hisia zipo high kichwani lakin hauna kitendea kazi mwili ni kama unatembelewa na vitu ndani kwa ndani😂Atafanyaje sasa zaidi ya kunyonyeshwa tu 😂
Hiyo Kuna bidada kaniagiza nimdownlodie ikijaa aje kuifata 😎
nilitaka nimuulize pia ila hilo jina la mwanzo kabla ya Angels ndiyo likanishtua..!!Mkuu hiyo Anal Angels ni movie mpya? 😂
😀😃😃😃😃😃Hiyo Kuna bidada allitaka niidownload afu aje kuibeba 😃nilitaka nimuulize pia ila hilo jina la mwanzo kabla ya Angels ndiyo likanishtua..!!
Vincenzo Jr kesho enda kwa ibada tafadhali sana..!
Siijui 😃Movie gani hyo
View attachment 3471395
Hii sijawahi kuionaTwisted metal imeishia patamu sana pale tukutane msimu wa 3 inshallah