Series (Special thread)

Basi wamejitahidi sana aisee
 
Kwa nini waharibu?
Yani hujui tu ninavyosubiri kwa hamu kuona Black Americans kwenye Squid Game 4. Yani kwenye movie yoyote nikiona Black Americans roho yangu inasuuzika
Mzee Sina hakika saana.

Watu weusi humu kwenye squid wanaweza leta mambo yakichoko
Anyway tusubiri tuone
 
Squid Haina utam kama mwanzo mana ukatili umezidi hakuna michezo mizuri
Naunga mkono hoja, squid ilipata umaarufu kutokana na difficult games na challenging games.

Offcouse season one hata watoto walikuwa wanaweza kuiangalia fresh tuu,

Ila hii ina ukatili too much, game ni chache,


Nadhani it's like stori imeisha, au ubunifu umeisha,

Labda season four wataleta kitu kipya
 
Hawajaona Hilo,Bora bunduki ikuue hyo imezoeleka kuliko michezo miwili yote mkono wako uhusike Ina leta ukakasi Kwa watoto.
 
Mzee Sina hakika saana.

Watu weusi humu kwenye squid wanaweza leta mambo yakichoko
Anyway tusubiri tuone
Dah.. Unajua mimi hata siwaelewi. Hivi kuna movie mliangalia labda mkaona Black Americans wameharibu au. Mbona hamuwakubali hivi
Mbona tunaona USA movie nyingi watu weusi wana act vizuri sana, mfano mwaka huu kuna Straw?
Hii propaganda ambayo wazungu wameisambaza kuhusu Black Americans kuwa ni wahuni, watu wasio na maadili, watumiaji wa madawa ya kulevya sijui mabishoo uchwara imewachafulia sana picha Black people. Leo hii hata wewe unaanza kuona hawastahili kuwa kwenye show nzuri kama Squid Game
 
Hakuna season 4, Squid game imeisha ikiwa na season 3 tu,

Wamesema ile scene ya mwisho haijalenga kua kuna muendelezo bali wamepeleka ujumbe kua game imeisha Korea lakini sehemu zingine duniani bado inaendelea, lakini pia wametaka kupumzika kwa sasa labda baadae wanaweza wakatoa spinoff sio sequel na hii spinoff itakua na nafasi ya miaka mitatu kati ya season 1 na season 2,

Hii ni 'May be' tuwe wapole tuendelee kutazama series zingine. Lol
 
Sawa, sema hata ikiisha sawa tu. Ilishaanza kupungua ladha
 
Exactly πŸ’―
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…