Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,977
- 46,643
Remorse ani nzuriEarly weekend movie
Kama ulishaziona sio mbaya kujikumbushia ila kama hujaziona tafuta uenjoy 😃😃View attachment 3358216View attachment 3358217View attachment 3358218
Remorse ani nzuriEarly weekend movie
Kama ulishaziona sio mbaya kujikumbushia ila kama hujaziona tafuta uenjoy 😃😃View attachment 3358216View attachment 3358217View attachment 3358218
Mkuu vince, kama unakumbuka jinsi nilivyokua nakuuliza season 2 inatoka lini?Bado siku chache sana mwanangu 😎 Cc Carleen dosho12 Mr Q if cap fits Angel Nylon
View attachment 3357644
ni nzuriRemorse ani nzuri
Ila unakumbuka alishamwambia Harry kuwa nakusaidia lakini nitakudaiHuyu Maza miyeyusho sana 😀
Maza ana kauli nzito kama wale madon wa kwenye John wickIla unakumbuka alishamwambia Harry kuwa nakusaidia lakini nitakudai
Usikute Maza ndio kaanza kumaanisha😃
Nipo naipakua hapa nitaleta MrejeshoUkimaliza pita na barry series
Ni series Kali sana hiyo ndugu yangu
Noma sana mkuu hii S 2 itakuwa ya Moto sana ila wasije kutusubirisha mpaka mwakani🤔Maza ana kauli nzito kama wale madon wa kwenye John wick
Maza hampendi Conrad 🤣🤣🤣Maza ana kauli nzito kama wale madon wa kwenye John wick
Exactly 💯 Itakuwa Kali sanaNoma sana mkuu hii S 2 itakuwa ya Moto sana ila wasije kutusubirisha mpaka mwakani🤔
Conrad ni mzee wa hovyo sana 😀😀😀Maza hampendi Conrad 🤣🤣🤣
Mimi aliniuzi sana pale Jela alivyokuwa anamdhihaki mwanae kuhusu mkewe BellaConrad ni mzee wa hovyo sana 😀😀😀
Kuna theory moja ya watazamaji tu maana walioandaa movie hawajathibitisha, kuwa huenda dr cooper alishakufa na safari yake kwenda kwenye space ni safari ya baada ya kifoNarudisha mrejesho.. kiukweli hii ngoma mwanzoni nilianza nayo kivivu sanaa. Ilinichukua almost 1 week mpaka kuamua kuichukulia serious maana nilishaweka hadi mpango wa kuifuta, cha kushangaza jana nimeimaliza na ni ya moto sanaaa 🔥 unaangalia mpaka mapigo yanaenda mbio.
Leo asubuhi nimeamua kuirudia upya ili nielewe vizuri sasa!
Aisee, shukrani sana kwa alie recommend. Kiukweli sijapoteza kitu zaidi ya kuongeza.
Ila wangeweka muendelezo tuone namna Cooper anavyoenda kum rescue Brand kule aliko kwenye other galaxy.
View attachment 3359019
Kama umeipenda hiyo.Narudisha mrejesho.. kiukweli hii ngoma mwanzoni nilianza nayo kivivu sanaa. Ilinichukua almost 1 week mpaka kuamua kuichukulia serious maana nilishaweka hadi mpango wa kuifuta, cha kushangaza jana nimeimaliza na ni ya moto sanaaa 🔥 unaangalia mpaka mapigo yanaenda mbio.
Leo asubuhi nimeamua kuirudia upya ili nielewe vizuri sasa!
Aisee, shukrani sana kwa alie recommend. Kiukweli sijapoteza kitu zaidi ya kuongeza.
Ila wangeweka muendelezo tuone namna Cooper anavyoenda kum rescue Brand kule aliko kwenye other galaxy.
View attachment 3359019
Ni kali?
Ndio, Ni nzuri.Ni kali?
Wadau wengi walikasirishwa na kifo chake cha ghafla wakaona wamrudishe kwa style ilekwanza mnatakiwa mnipongeze maana nilijikaza nikaenda kumalizia kuitazama From, ila naona huku mwishoni haitishi sana kama kule mwanzo..!!
Na kwanini wamemu - reincarnate 'Smiley', wamenikwaza sana..!!
Yaani unadhani wanaweza wakaitoa season 2 huu mwaka!? hapo ni mwakaniiiiiNoma sana mkuu hii S 2 itakuwa ya Moto sana ila wasije kutusubirisha mpaka mwakani🤔