Nimeangalia From season 1 ep 01 kuna scene julie anamsimulia ethan story kaweka vimidoli kwenye vidole mmoja wa mdoli anaitwa norman, kasimulia kisha norman akafa kwenye story, ethan akamwambia julie "bring him back, you have to bring him back", nikaanza kufikiria huenda ma directors walikuwa wanatuonyesha hints za julie alivyo sababu sidhani series kama from wanaweza kuweka dialogue ya aina ile alafu iwe ni ya kusongeza scene mbele haina maana, pia ep 02 kipindi wanawapeleka kwenye colony house baada ya kutoka kwenye ajali kuna Monster mmoja alimuita julie kisha akamwambia "don't you recognized me" julie akabaki anashangaa tu, huenda labda huyo ni monster ambaye alikutana naye kipindi anajaribu ku time travel kila matukio ili abadilishe story.
Vincenzo Jr Dr. Mariposa Carleen sawima