Series (Special thread)

Series (Special thread)

Witcher ni nzuri? Rate!!!
The witcher ya yule jamaa wa superman ni nzuri naipa 8.2/10 , ina game lake pia ni zuri
b04aa90fd37387fbc475af879b92a19d.jpg
 
Itapunguza mzuka ila nasikia wana mreplace na mdogo wake na chris hermsworth Thor
Ni kweli Liam Hemsworth anaenda kuchukua nafasi ya Henry Cavill, naona fans hawajakasirika sana sababu wanampenda Liam yaan ana wafuasi wengi pia, hofu yangu ni ile chemistry iliyokuwepo kati ya Witcher na Yennefer itakuwepo kwao pia? nilikua naipenda love story yao
 
Ila ile role inamfaa zaidi henry cavil ni kama alizaliwa kuwa the witcher😁😁 ni kama kwenye series ya From waamue kumreplace sherif boyd wa sasa, haitapendeza hata wakimchukua Denzel hatakuwa na ile vibe kama boyd aliyepo 😃😃
 
Umenifanya nimuimagine Denzel na kikengere anakatiza pale Diner 🤣🤣🤣
Kweli bhana acha tuone itakavyokua watazamaji wakipungua kama kawaida ya Netflix wataitupilia kwenye dustbin,

Henry kasema wametofatiana mitizamo na waandaaji yeye pia ni fan wa kitabu cha The Witcher sasa waandaaji wanaipeleka series tofauti na ilivyo kwenye kitabu eti ndio kasusaa na wao wakamwambia "ukisusa Liam anakula" 🫢😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom