Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,241
- 79,802
😃😃😀😀😀Haka katoto kwenye hiyo sweet girl si ndo huyu anaeliwa na Ellie
😃😃😀😀😀Haka katoto kwenye hiyo sweet girl si ndo huyu anaeliwa na Ellie
Kile kisichana kilikuwa kizuri
SANA KAKAKile kisichana kilikuwa kizuri
Hiyo Straw naona inasifiwa sana, ngoja niicheki
ipo vizuri sana jirani yangu icheki 😎 😎 😎Hiyo Straw naona inasifiwa sana, ngoja niicheki
Ngoja niishushe, hapo nabakiza ballerina na mission impossible, hiyo kuachiwa free mpaka majaliwa 😁😁
Hapo nichukue ipi
Bonge moja la Mstari.
Huyu dogo muhuni Sana.
StrawHapo nichukue ipi
Huyu miyeyusho sana na tusi lake pendwa ni neno cunt 😃Uyu Bibi Maeve anatukana,roho mbaya pia kama kamtawala sana Conrad namfananisha na Huleim Sultana wa kwenye Sultan na Cersei Lannister wa GoTView attachment 3362568
Huyu Preacher Boy Sammie Moore ni miyeyusho sana 😀 😀 😃Huyu dogo muhuni Sana.
Manzi anamwambia "Carefully I'm Married".
Halafu anauliza eti "Happily?"
Exactly 💯 brotherBonge moja la Mstari.
Pia ile idea ya Devil hawezi kuingia ndani mpaka umkaribishe wewe mwenyewe either kwa kujua au kutokujua.
Pia namna hisia au ukaribu na mtu. (Ndugu au Partner) unaweza sababisha kumuacha Devil alie ndani abaki ndani na ukaharibikiwa.
Hawa jamaa waulaya wapo vizuri sanaHuyu miyeyusho sana na tusi lake pendwa ni neno cunt![]()
Peaky BlindersHawa jamaa waulaya wapo vizuri sana
Gangs of London
Mobland kama unaijua nyingine yenye mfanano na hizo naomba