Series (Special thread)

Series (Special thread)

Season 3 tayari.
Iliishia jade na tabitha wamegundua maana ya ule msemo wa aghkooney na kuwa naisha yao yanajirudia kila wanaposhindwa kuwasaidia wale watoto, pia jullie kajua kwa yeye ni story walker hivyo kaenda kurekebisha kifo cha baba yake aliuawa na yule mzee monster mwenye anayetembea hadi mchana, sara kamtesa adrien na kujua wapi adrien alipomficha fatima na mimba yake ya ajabu, mtoto kazaliwa kumbe ni mr smiley.
 
‎Nimeangalia From season 1 ep 01 kuna scene julie anamsimulia ethan story kaweka vimidoli kwenye vidole mmoja wa mdoli anaitwa norman, kasimulia kisha norman akafa kwenye story, ethan akamwambia julie "bring him back, you have to bring him back", nikaanza kufikiria huenda ma directors walikuwa wanatuonyesha hints za julie alivyo sababu sidhani series kama from wanaweza kuweka dialogue ya aina ile alafu iwe ni ya kusongeza scene mbele haina maana, pia ep 02 kipindi wanawapeleka kwenye colony house baada ya kutoka kwenye ajali kuna Monster mmoja alimuita julie kisha akamwambia "don't you recognized me" julie akabaki anashangaa tu, huenda labda huyo ni monster ambaye alikutana naye kipindi anajaribu ku time travel kila matukio ili abadilishe story.
Vincenzo Jr Dr. Mariposa Carleen sawima
 
Vimidoli 😁😁😁😁
 
🔥🔥🔥
umewaza vyema, sijui kwanini hata sikufikiria hilo kabisa, kuna uwezekano kabisa Julie anafahamiana nao, sababu naamini hata pale that guy with the yellow suit alipomuua baba yake inawezekana siyo present time, maana pale Julie alikuwa kama amebadilika muonekano kabisa, sitaki kuamini wamemuua that guy, watanikwaza sana..!!
 
😅😅 jamaa anakipaji sijaona tabasamu la mtu likatisha kama la yule jamaa
Ilibidi nimtafute Jamie McGuire in real world kwa kweli..!😂😂🙌

Screenshot_2025-06-06-17-29-17-219_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2025-06-06-17-29-12-551_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2025-06-06-17-28-24-887_com.android.chrome.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom