Series (Special thread)

Hivi Haina muendelezo naona kama imeishia njiani?
Wamarekani wajinga sana mkuu series kali sana huwa hazina muendelezo wanazi cancel
alafu series au movies zenye mambo na agendas zao za kishoga ndiyo unakuta zikapewa promos kwa nguvu.. Angalia kuna series ilkua inaitwa The Endgame walii cancel ilkua nzuri kweli, kuna American Abyss nayo ilkua chuma, Dark Angel, Stranger Things e.t.c

Ukiingia Netflix mostly series nyingi nzuri kwa sasa zina mambo ya umende mende na ndiyo zinatolewa kwa fujo..
 
Tukutane mwezi wa 8
Episode Season 01 Episode ya 03 kwenye hili goma huwa naipenda sana na nakumbuka yule jamaa anaitwa Saul Agnon alimfata Steven Horn na kumwambia yule chizi (psychopath) tunatuma tu watu kumuua lakini watu wetu ndo wanaishia kufa anazurura tu hii California kama mwehu
usalama wetu mdogo tukiwa nje huko...

Steven Horn akiwa serious kabisa akamjibu Saul hivi


(He's not a psychopath, He's a SEAL Commander have some respect)

Kwanza usimwite chizi yule (James Reece saaa hapo wanamzungumzia) Yule ni SEAL commander, uwe na heshima hata kidogo


Kifupi Steven Horn alijua kabisa wana deal na mtu wa namna gani na sio chizi ndo maana alimuonya jamaa awe makini na heshima
sabu Steve yeye pia alikua kikosi Navy SEAL kabla ya kua mamluki wa deals haramu.. Saul Agnon ndo alifatia kufa kwenye List ndiyo akaona uchizi wa James Reece sasa..
 
Jack Ryans pia utaikubali ukizicheki.
 
Guy Ritchie hii series ametuliza sana akilii
Hakika mkuu anafanya mambo yake Kwa utulivu

Conrad anatumia mihemko sana anachotaka yeye ndio iwe hvyohivyo hata kama kitaleta madhara

Siumeona Ep 9 Jaime alivyomchana alafu akamuheshimisha Harry

"No wonder Kat Want you.
And " No wonder you want to leave.


Conrad ajiangalie ufalme wake utaangushwa soon
 
Na tusi lake pendwa ni neno cunt πŸ˜ƒπŸ˜€
 
Stranger things wameicancell!!!

Ila hasa Netflix kama series ikishuka watazamaji wanaikataa mapemaaa hawana muda wa kupoteza, tulipie netflix tuache wizi πŸ˜‚πŸ˜…
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…