Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ila Harry alijikaza sana asimpasue hata vibao viwili vitatu kijana wa hovyo Eddie baada ya kujua anamkula binti yake.
Da Souza ana mikakati mikubwa mno na hesabu za mbali, hakurupuki anapofanya jambo kwa kuendeshwa na hasira, check toka awali anachofanya kinafanikiwa kwa kuplan kwanza sio mihemko... Hata Eddie alkua anaweza mfanya chochote pale ila ndo kama hivyo kuna kauli moja tu alimpa mpaka Eddie mwenyewe alipagawa kwanza kabla akili haijamrudia tena...
 
Da Suza ana mikakati mikubwa mno na hesabu za mbali, hakurupuki anapofanya jambo kwa kuendeshwa na hasira, check toka awali anachofanya kinafanikiwa kwa kuplan kwanza sio mihemko... Hata Eddie alkua anaweza mfanya chochote pale ila ndo kama hivyo kuna kauli moja tu alimpa mpaka Eddie mwenyewe alipagawa kwanza kabla akili haijamrudia tena...
Hii series Kali sana yaani sana
 
Harry Akili nyingi hata Conrad analijua Hilo na anamuheshimu na kumuogopa Harry ila

Harry hamuogopi Conrad anamuheshimu tuu kama Boss
 
Hii series Kuna Convo kalii mno
Yes series za England inabidi utulize kichwa kabisa, na mara nyingi convos ndiyo zinabeba direction ya matukio kwenye series zao, sometimes bila subtitle unaweza toka patupu ni kama movies na series za wa Australia tu wanafanana sana uigizaji wao hata swaggers zao...
 
Ila Harry alijikaza sana asimpasue hata vibao viwili vitatu kijana wa hovyo Eddie baada ya kujua anamkula binti yake.
Toto linadharau kinoma

Mwamba alimwambia ukionyesha Tabia njema kama kijana anayeweza kuwa na bint yangu Mimi sina noma nitakubaliana nawewe

Kitu ambacho kigumu Kwa tabia za Eddie ni mshenzi muuaji pia
 
Harry Akili nyingi hata Conrad analijua Hilo na anamuheshimu na kumuogopa Harry ila

Harry hamuogopi Conrad anamuheshimu tuu kama Boss
Uko sahihi, Harry hamuogopi kabisa Conrad ila anamu heshimu tu, sabu Harry sindo mzee wa kumaliza issues tata za Conrad na mzee analijua hilo bila Harry kufix mishe zake mbovu hana mwingine...
 
Yes series za England inabidi utulize kichwa kabisa, na mara nyingi convos ndiyo zinabeba direction ya matukio kwenye series zao, sometimes bila subtitle unaweza toka patupu ni kama movies na series za wa Australia tu wanafanana sana uigizaji wao hata swaggers zao...
Exactly 💯 mkuu Kuna ile Moja inaitwa behind her eyes nayo sio powa Convo zake
 
Toto linadharau kinoma

Mwamba alimwambia ukionyesha Tabia njema kama kijana anayeweza kuwa na bint yangu Mimi sina noma nitakubaliana nawewe

Kitu ambacho kigumu Kwa tabia za Eddie ni mshenzi muuaji pia
Mbaya zaidi bibi yake ndo anamjaza kichwa sasa na kumpa mihadarati sema bibi Maeve ni snitch sana yule
 
Yes series za England inabidi utulize kichwa kabisa, na mara nyingi convos ndiyo zinabeba direction ya matukio kwenye series zao, sometimes bila subtitle unaweza toka patupu ni kama movies na series za wa Australia tu wanafanana sana uigizaji wao hata swaggers zao...
Itabidi nianze kuzizingatia series za Waingereza
 
Wazingatie wako vizuri sana.. kuna - The Night Manager na Black Mirror unaweza ziweka kwenye list yako, zingatia convos sana hawa jamaa wana convos zao sio poa wanaweza kukuacha huelewi kitu usipokua makini..
The night maneger yule jamaa alipiga harakati zake kwa hatari mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom