Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,350
- 6,419
OzInaitwaje?
OzInaitwaje?
Shukrani kijana
😅😅😅😅Kweli kabisa mkuu wabongo huwa hawa disappoint kwenye majina ya moviemchuma janga
Ebu nisimulie kidogo ili kama naweza pakua niipakie kwa ujumla wake.MobLand series inayo tufundisha to do whatever can be done to protect our families.
Harry is a good fixer.
Kibongo bongo wangeipa jina la
mchuma janga
kuna dogo humo kaletd hekaheka kwenye familia yake
Na yule bibi je kibongo bongo tumwitaje😂😂MobLand series inayo tufundisha to do whatever can be done to protect our families.
Harry is a good fixer.
Kibongo bongo wangeipa jina la
mchuma janga
kuna dogo humo kaletd hekaheka kwenye familia yake
Bora usubiri imalizike mkuu kusubiri Kila week inahitaji moyoEbu nisimulie kidogo ili kama naweza pakua niipakie kwa ujumla wake.
Bado episodes 2. Mi nilisubiri mpaka zilipofika 5. Jana nimemaliza epidode ya 4Bora usubiri imalizike mkuu kusubiri Kila week inahitaji moyo
Mobland itakua na jumla ya episodes 10 kukamilisha msimu na sio 8.Bado episodes 2. Mi nilisubiri mpaka zilipofika 5. Jana nimemaliza epidode ya 4
nafhani episod ya 6 ilitoka jana?
Nilijua zipo 7. Hii series ni kutoka britain?Mobland itakua na jumla ya episodes 10 kukamilisha msimu na sio 8.
Wale miyeyusho sana Kuna kipande jamaa alimpoteza mama yake alipiga yowe sio powa 😀😃Huyu nahisi ndo atakuwa mshindi, nasubiri mama na mwana vifo vyao vitasikitisha