You are missing out Brother.
Ulimwengu wa anime/animated series una plot na story zinazofikirisha na kuburudisha ajabu.
Kama unaweza kutazama TV series kama Game of Thrones kwanini ushindwe kutazama anime/animated series?
Hata mimi kitambo sana niliwahi kuwa na mindset inayoniambia kuwa anime/animated series sio vitu serious, ila nikajiuliza kama naweza kusoma fiction books na kuangalia fantasy movies/series kwanini nishindwe kuangalia anime/animated series. Nilianzaga na Avatar: The last Airbender, eeeh bwana eeeh baada ya hapo...
Nisikuchoshe, kula kigongo hiki 👇👇👇👇
The Haunting of Hill House
View attachment 3322358