buildings tanzania
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 582
- 2,105
Naishi nayo muda huuMovie ipo hapa aloo
Naishi nayo muda huuMovie ipo hapa aloo
Episode ya mwisho ipi mkuu, kaa kwa kutuliaNipo episode ya mwisho kwenye nine bodies in Mexico morgue.
Ni series nzuri, naweza kuipa rate ya 5.8/10
Kifo cha Zack na Sonja kimenisikisha saana.
Na video vya wale couple wawili walio kufa Kwa pamoja
Kuna kipande kwenye hii series, ilibidi mifupa ya mababu wa mababu zao ifukuliwe ili kupoteza ushahidi wa DNA uliokuwa karibia uharibu cartel ya wale wazee wawili baada ya moto mkubwa kuchoma shamba lao.Nipo na Ozark season 3 episode 3 kuna ngoma kali sana ya Reo Speedwagon inaitwa Time for me to fly🥳 wana perform live kwenye stage. Oya nimeishusha naisikiliza siku nzima sijaichoka😂😂. Ngoja niwawekee hapa
View attachment 3313416
Hatari 🔥Kuna kipande kwenye hii series, ilibidi mifupa ya mababu wa mababu zao ifukuliwe ili kupoteza ushahidi wa DNA uliokuwa karibia uharibu cartel ya wale wazee wawili baada ya moto mkubwa kuchoma shamba lao.
Imagine inamlazimu mtu kufukua mifupa ya mababu zake ili polisi wamsaidie kuharibu ushahidi kwenye chamber ya kutunzia vielelezo vya kumtia mtu hatiani mahakamani
Hii series nilitamani watuletee season 5&6
Kama unasema zack amekufa maana yake bado ujafika mwishoNipo episode ya mwisho kwenye nine bodies in Mexico morgue.
Ni series nzuri, naweza kuipa rate ya 5.8/10
Kifo cha Zack na Sonja kimenisikisha saana.
Na video vya wale couple wawili walio kufa Kwa pamoja
Zote hizo nimecheza nazo sana mkuuLeo ndo Ile siku tunazicheki zile site za kupata subtitles yaani humu haukosi subtitles ndugu yangu
Cc Mr Q dosho12 Carleen if cap fits Nomadix
1.https://www.opensubtitles.org/en/search/subs
2.https://www.moviesubtitles.org/
3.http://www.moviesubtitles.net/
4.https://subdl.com/
5.https://www.srtfiles.com/
6.http://www.my-subs.com/
Plus yule mke wa jacob yaani mda wowote ukimzingua anaku shoot na shotgun aisee ndani ya seconds ameshabadilika kumbuka alivomkill yule dell mwakilisha wa cartelKuna kipande kwenye hii series, ilibidi mifupa ya mababu wa mababu zao ifukuliwe ili kupoteza ushahidi wa DNA uliokuwa karibia uharibu cartel ya wale wazee wawili baada ya moto mkubwa kuchoma shamba lao.
Imagine inamlazimu mtu kufukua mifupa ya mababu zake ili polisi wamsaidie kuharibu ushahidi kwenye chamber ya kutunzia vielelezo vya kumtia mtu hatiani mahakamani
Hii series nilitamani watuletee season 5&6
Hakika mkuu nakumbuka sana ile njemba ilitaka kuokota vitu vilivyo dondoka ikakutana na kitu kizito shingoniPlus yule mke wa jacob yaani mda wowote ukimzingua anaku shoot na shotgun aisee ndani ya seconds ameshabadilika kumbuka alivomkill yule dell mwakilisha wa cartel
Pia kumbuka marty na mke wake wendy walivomsaidia navaro head of cartel kuua competition iliopo kati yake na rival cartel kwa kuihusisha us government baada ya kuwa na ile clip iliorekodiwa na yule mtoto wa marty ikionyesha ile cartel kushambulia us citizens in us land
Kumbuka jinsi navarro alimvomuua hellen pierce his legal representative mbele ya kina marty na wendy baada ya kuona hana kazi kwake na kuona hawa wawili ni vichwa sana ku launder pesa zake za drugs na operation zinginee
In short hi chuma ni mashine sana wakuu msisite kuangalia mi mwenyewe nina mpango wa kurudia
Kali sanaNimeanza series ya Nine bodies
Vip inafaaa au miyeyusho tuu
Ulizicheki The Substance na blink twice?Inaonekana itakuwa nzuri kwa jinsi wanavyoielezea, kwamba inspiration ni matukio ya kweli ya the weeknd na hizo movie walizotaja, pia nitaangalia sababu huwa napenda psychological movie
Substance siijui kabisa ila blink twice ipo kwenye list ya movie nazotaka kuangaliaUlizicheki The Substance na blink twice?
Itafute mkuu ni balaa sana kama unazipenda psychological hii inakufaa mnoSubstance siijui kabisa ila blink twice ipo kwenye list ya movie nazotaka kuangalia