Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,233
- 79,765
Huyu mchumba wa kilatini nikimuona mnara unasoma 5G kama uliwahi kucheki Deep Water utakuwa umeelewa 😋 Cc dosho12 Carleen Mr Q if cap fits
Hii nishaicheki ilifanya vizuri, ilichukua tuzo ya oscar
Daaah hii series bado ipo tu
Kwa nini HBO na prime tu mkuu Netflix, Hulu, Apple tv huzipendi au ndo una subscription na hzo plattformNaombeni series kali ya HBO au prime
Action
Drama
Sex lazima
Hiyo YOU nimeingia onstreams nimekuta season 1,2,3,4,5 aisee
Ulishia season ya kwanza tu mkuuHiyo YOU nimeingia onstreams nimekuta season 1,2,3,4,5 aisee
Kwani hii season iliendelea lini season 2,3....?
YapUlishia season ya kwanza tu mkuu
Dah una kazi kubwa mpaka ufike season 5 bila watu kuspoil mwisho wake 😂😂😂Yap
Yani huu muda wote nilikua nasubiri season 2 😅 ndiyo maana leo nimeshangaa sana kukuta season mpaka 5 onstreams
Hii safi maana series iko poa mimi nitakachofanya ni kudownload seasons zote nikimaliza Dexter nipo season ya 8 nahamia kwenye YOU burudani itakua safi na ya uhakikaDah una kazi kubwa mpaka ufike season 5 bila watu kuspoil mwisho wake 😂😂😂
Ipo online niruke nayo?
Ndio kaka 😎Ipo online niruke nayo?
Network haiko poa naenda nayo hivyo hivyoNdio kaka 😎