Series (Special thread)

Series (Special thread)

Vin unatutia majaribuni unaweka picha ya mtoto mzuri alafu juu title ya sinners tena, unamaanisha tuwe makini tunapoangalia picha tusiwe na mawazo mabaya kichwani au😁😁😁
😃😀😀😀Huyo mchumba yupo kwenye sinners kaka😃😀
 
Movie ipo hapa aloo
 

Attachments

  • 26C98060-F8F4-4AC6-A79A-377C9AD73EC8.jpeg
    26C98060-F8F4-4AC6-A79A-377C9AD73EC8.jpeg
    68.9 KB · Views: 16
Nothing beats mfumo wa kuachia episodes zote. Alicho nifanya the day of the jackal na Hijack, sitaki kuangalia episode mojamoja. Bora angalau zifike tano ndio nianze kuangalia.

Thats why mobland nimeiacha kwanza isogee na kwa sasa naendelea na Dare devil nikimaliza naenda gangs of london na kisha nimalize na true detectives, sherlock, slow horses ambazo zote zimekamilika.
Hijack season 2 ama ile si ishaisha ya idriss elba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom