Ndio hiyo kakaDark matter ile ya yule jamaa alimpeleka mwenzake kwenye reality nyingine alafu akachukua nafasi yake, ile series ni kali balaa
Kwema mkuu karibu sana mkuuWakuu kwema humu
Shukrani sana mkuu, una recommendations za series inayoendana na:Kwema mkuu karibu sana mkuu
Pita na the bing bang theory mkuu hapo niongeza ongezea na on call pita na The Fall of the House of UsherShukrani sana mkuu, una recommendations za series inayoendana na:
Nazikubali sana hizi, kwasababu ya BrEng
- End of the F*cking world
[*]The Irregulars
Mike Flanagan hajawai kufeli ni kama David Ayer kwenye action movies, hio The Fall itakuwa kali kama movie za BLUMHOUSE shukrani mkuuPita na the bing bang theory mkuu hapo niongeza ongezea na on call pita na The Fall of the House of Usher
Nenda cinema 🎥 🍿 mkuuTHE SINNERS(2025) naipataje? maana imetoka April, 18
Subiria mpaka may 20 Sinners DVD Release DateTHE SINNERS(2025) naipataje? maana imetoka April, 18
Nishamcheki kwenye movie moja ameigiza george cloney,pia na picha moja ya musical na mambo ya msongo wa mawazo na suicideMchumba huyu hapa ni Abby
Aliyekula kichwa cha Joel miller
![]()
Kaitlyn Dever - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Haha 😀 nikajua nyie wajuzi mna VIP access ya kuipata hata Netflix za kuchakachuaNenda cinema mkuu
we Gooner upo na huku 😀Nishamcheki kwenye movie moja ameigiza george cloney,pia na picha moja ya musical na mambo ya msongo wa mawazo na suicide
Npo mkuu mwaka huu ucl ya kwetuwe Gooner upo na huku 😀
Duh hio ndio ilikuwa kwenye favorites zangu baada ya kuicheki Demon City, A Working Man next ilikuwa nangoja The SinnersSubiria mpaka may 20 Sinners DVD Release Date
Hahaha ngoja tuone lakini Joel Miller alisema "I guess no matter how hard you try you cant escape your past"Npo mkuu mwaka huu ucl ya kwetu
Hii sio kazi ya Netflix kaka 😂 😃 inaanzia kwanza cinema kisha baadae inaenda prime videoHaha 😀 nikajua nyie wajuzi mna VIP access ya kuipata hata Netflix za kuchakachua