Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,968
- 46,611
Mtajijua wenyewe huko na series zenu za kuogofya😁Hamna wamemuua mtu ambaye anafanya asilimia 90 watu waangalie Last of us
Mtajijua wenyewe huko na series zenu za kuogofya😁Hamna wamemuua mtu ambaye anafanya asilimia 90 watu waangalie Last of us
Mtumeee sema ujue hata kwenye game alifariki kule
Wameyatimba aisee 😀Hamna wamemuua mtu ambaye anafanya asilimia 90 watu waangalie Last of us
Mtumeee sema ujue hata kwenye game alifariki kule
Exactly 💯 hata kwenye GOT walimuuaAna nyota ya kuuliwa.
dah bora hata wangesogeza mbele angalau ep ya mwisho kuliko ep 2 naona mapema mno.Mtumeee sema ujue hata kwenye game alifariki kule
Sana labda kwa season 2 atakuwepo kwenye kumbu kumbu maana bado hatujui kulitokea nini kati yake na mume wake yule bibi mpaka amchukie joelWameyatimba aisee 😀
Exactly 💯 brotherSana labda kwa season 2 atakuwepo kwenye kumbu kumbu maana bado hatujui kulitokea nini kati yake na mume wake yule bibi mpaka amchukie joel
Litafute au ngoja nikupe link lina kama gb 50 hividah bora hata wangesogeza mbele angalau ep ya mwisho kuliko ep 2 naona mapema mno.
Game lake sijawahi kulicheza
Hzo gb 50 ndugu yangu😁😁😁 hapo ni mtihaniLitafute au ngoja nikupe link lina kama gb 50 hivi
Nahisi maana atataka kulipa kisasi na akiwa na akili za kitoto kile kisichana kitamuua na yeyeLabda kufa kwa Joel huyu Ellie atabadilika na kuwa na akili ya kikubw
Na sisi wafuasi wake tutampenda mno maana yeye ndio kaibeba Dunia kwa sasa kama yule Ellie wa kwenye game alikuwa Binti jasiri mno ngoja tuone jumapili usishangae akaendelea kujilegeza kama kawaida yake huyu Ellie wa kwenye series miyeyusho sana huyuNahisi maana atataka kulipa kisasi na akiwa na akili za kitoto kile kisichana kitamuua na yeye
Kuna mwana pale kariakoo anauza movie, series na magemu mixer series analo Hilo game pale unaenda kulinyonya tu anaitwa method moviesHzo gb 50 ndugu yangu😁😁😁 hapo ni mtihani
Itakuwa sh ngapo hapo nikujumlisha na nauli ya Mwanza- DarKuna mwana pale kariakoo anauza movie, series na magemu mixer series analo Hilo game pale unaenda kulinyonya tu anaitwa method movies
Pole kaka kumbe uko mbali sana nilizani upo dar es salaam ila pale yule jamaa mie huwa ananiuziaga buku 2 tuItakuwa sh ngapo hapo nikujumlisha na nauli ya Mwanza- Dar