Hata Mimi sipendi hivyoSitaki kuonekana nna ubaguzi kwa wazee ๐๐๐ ila mi movie ikishakuwa na wazee wengi kuliko vijana mzuka wa kuangalia unapungua ๐๐๐
Hata Mimi sipendi hivyoSitaki kuonekana nna ubaguzi kwa wazee ๐๐๐ ila mi movie ikishakuwa na wazee wengi kuliko vijana mzuka wa kuangalia unapungua ๐๐๐
Anza na 9 bodiesJana nimepakua A Working man,House of David na 9 bodies in mexican morgue FULL HD ZOTEE
Najiuliza nianze na ipiiii ila yote kwa yite Series ya MOBLAND ni balaaaa ๐ฅ
XAwa chifuuu umechek mobland lakn!Anza na 9 bodies
Bado sijaichekiXAwa chifuuu umechek mobland lakn!
Naomba link ya app maana nikadownload kwa Google inaniambia ni update kwa playstore
Kafikisha na huyo mtoto Gabrielle Union nae ni 50 lakini Bado kama anaonekana ana 20 Gabrielle Union - WikipediaDah Jessica alba hazeeki hivi sasa hv atakuwa anakaribia 50 au kaishafika tayar
Duh hapo wanaamini conspiracy theory ndio wanasema hao watakuwa reptiliansKafikisha na huyo mtoto Gabrielle Union nae ni 50 lakini Bado kama anaonekana ana 20 Gabrielle Union - Wikipedia
Kabisa mkuu ๐๐๐Duh hapo wanaamini conspiracy theory ndio wanasema hao watakuwa reptilians
๐ ๐ ๐ inabidi nivae bukta kama tatu ndaniKama ujaangalia hii inabidi ukamatwe upigwe fimbo
Wengine wanaweza wasiielewe ila ni chuma cha moto mnoo ๐ฅ๐ฅ๐ฅKama ujaangalia hii inabidi ukamatwe upigwe fimbo
Mule kale kabinti kalichokuwa kanamsaidia yule mwanetu ni kana mvuto sanaNipo episode ya pili ya dare devil naomba niseme kwamba nilichelewa kukijua hiki kigongo na nnajuta kwanini sikuangalia dare devil zilizo pita๐๐๐
Nilikuwa nazifananisha na mamuvi ya spiderman The Adam, Dead pool, Agent of shield n.k kumbe nilikuwa nakosea.
Kwanza ina episode za kutosha, pili ina kamkong'oto ndani yake, tatu ina stori nzuri nne utaongezea mwenyewe
kuna dirt cops wamekipata walichokuwa wanakitafuta
Naunga mkono hojaKama ujaangalia hii inabidi ukamatwe upigwe fimbo
Kabisa mkuu yaan unyukwe vizuriiiKama ujaangalia hii inabidi ukamatwe upigwe fimbo
View: https://x.com/TheLastofUsHBO/status/1913268925669990555?t=r5A7hEOCSIJssucrxL3J3A&s=19
Jumapili ifike mapema sana Cc dosho12
Mifumo yote naipenda kaka sema ule wa Moja Moja nilianza kuruka nao Toka 2010 kipindi nacheki fringe ilikuwa Kila jumapili tunapata EP Moja ila nilianza kuwakubali Netflix walivyoingia sokoni wakaja na utaratibu wa mizigo yote inaachiwa siku Moja boom niliwakubali sana na wanaendelea hadi Leo ila wale wa Moja Moja wanatageti watazamaji wengi Sana kwa siku husika maana unaweza kumwaga mzigo wote kitu kisiende mjiniKabisa, unapenda mfumo upi kati ya episode moja kila wiki au ule wa kuachia episode zote siku moja
Nothing beats mfumo wa kuachia episodes zote. Alicho nifanya the day of the jackal na Hijack, sitaki kuangalia episode mojamoja. Bora angalau zifike tano ndio nianze kuangalia.Kabisa, unapenda mfumo upi kati ya episode moja kila wiki au ule wa kuachia episode zote siku moja