Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
Mzee wa kunyonya paka anarudi mwakani
Kama simu yako ina kioo kizuri quality yake sio mbaya.Sema quality ndogo sana
Site zangu ni torrent na apkKama simu yako ina kioo kizuri quality yake sio mbaya.
We unatumia site ipi
Kwa filamu za Kimagharibi hatuwezi kuepuka huu ujinga, labda tujikite kwenye kutazama HUBA na Jua Kali inaweza kutusaidia.Series kali sema wamezingua kuweka maudhui ya ushoga
Mbona zipo ambazo hazina mibuyuKwa filamu za Kimagharibi hatuwezi kuepuka huu ujinga, labda tujikite kwenye kutazama HUBA na Jua Kali inaweza kutusaidia.
Nimeanza na Paris Has Fallen. Story na pacing yake iko poa ila daah, Vincent hawezi kujaribu bahati yake kwa Zara kwa sababu Zara mwenyewe ana demu 😀 😀The penguin
The diplomat
A man in full
Paris has fallen
The night manager
Bodyguard
Eric
Fallout
Traitor
Patriot
Fubar
Hizo mkuu hapo niongeza ni
The Americans na Tulsa kings
Wewe unamchukia Jackal lakin kuna wengine wanamuelewa sana na kwa namna anavoonekena Na innocent face basi.kweli aisee mi nimemind sana Jackal kutokamatwa, mbaya zaidi katuulia kipenzi chetu Bianca, mpaka watu wanabishana hajafa
Season 3 inatoka mwakani
Jamaa ana roho nzuri kweli ila kazi yake na hitaji la kuwa salama yeye na fmilia yake ndivyo vinamlazimishaga kuua watu.Wewe unamchukia Jackal lakin kuna wengine wanamuelewa sana na kwa namna anavoonekena Na innocent face basi.
Yaani jamaa hana roho mbaya kivile sema majukumu ya kazi yake ndo yanamfanya aonekane vilr na pia anahuruma sana
Sure na kwa sehemu kubwa ule uharibifu wake ulianzia pale aliumizwa mno na wale watu kufa kifo kisicho na hatia.Jamaa ana roho nzuri kweli ila kazi yake na hitaji la kuwa salama yeye na fmilia yake ndivyo vinamlazimishaga kuua watu.
Hata kile kikosi chake alilzaimika kuwapiga bomu maana walizingua sana kuua wale watu waliokuwa wakisherekea zao na hawakuwa na hatia. Jamaa akaona kabisa hawa watu ni waovu hawafai na watamletea usiku kwenye mambo yake baadae.
zara ni msagaji yuleNimeanza na Paris Has Fallen. Story na pacing yake iko poa ila daah, Vincent hawezi kujaribu bahati yake kwa Zara kwa sababu Zara mwenyewe ana demu 😀 😀
todaytvseries.one
Hamna zipo series na movie nyingi za Kizungu hazina ushoga. Katika movie 10 ninazoangalia huwa nakuta moja au mbili ndo zina ushoga. Na hata siangalii Huba wala JuakaliKwa filamu za Kimagharibi hatuwezi kuepuka huu ujinga, labda tujikite kwenye kutazama HUBA na Jua Kali inaweza kutusaidia.
Naunga mkono hoja na mwaka huu Kuna series kibao nzuri na hazina mabogaHamna zipo series na movie nyingi za Kizungu hazina ushoga. Katika movie 10 ninazoangalia huwa nakuta moja au mbili ndo sina ushoga. Na hata siangalii Huba wala Juakali
Usicheze na nyapu mkuuMama carlito alithubutu mpaka kumchapa kibao jackal