Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
Ubarikiwe sana, ngoja nianze nayo wikiendi hii😅
Hiyo ngoja niiweke pending...Anza na obliterated
Mi niliziweka kando kwanza
paris has fallen
Lionnes special ops
Nipo napambana kwanza obliterated
Whaat!!!? Animesheni kabisa? Au unaangalia na wadogo zako 😁😁Hiyo ngoja niiweke pending...
Ngoja nianze na hii animation kwanza "Secret Level"
mtseeeuuuw', uzinzi tu Cassano...
Yeah. Nilikuja kuona mkuu. Ukisikia mtu anakula mema ya nchi, ndiyo hii ya Vincent sasa. 😀😀😀Vincent anamla President mkuu.
Kuna animation sio za watoto. Watu wanachinjana mpaka unashangaa kuwa nayo ni animationWhaat!!!? Animesheni kabisa? Au unaangalia na wadogo zako 😁😁
😀😀😀😀mtseeeuuuw', uzinzi tu Cassano...
Ngoja tuone mwezi wa pili mwakani mkuu 😂 😁Never say never, ila hilo haliwezekani. Hao zao na urafiki tu. Na Reacher si unamjua? Watakuwa kwenye kamji kipya na atapata polisi mpya wa kike...
Karibu sana mkuu na Kuna hii Kuna lugha chafu sana humu usitazame na mtu unae muheshimuUbarikiwe sana, ngoja nianze nayo wikiendi hii😅
Nakuambia bro. Labda kama series iamue kucheza na hiyo story kwa views ila hao watu hawana mpango kabisa wa kuwa pamoja.Ngoja tuone mwezi wa pili mwakani mkuu 😂 😁
Nipo episode ya pili. Hii chuma yenyeweKaribu sana mkuu na Kuna hii Kuna lugha chafu sana humu usitazame na mtu unae muheshimuView attachment 3181629
Kuna web zingine zinazidi mkongwe, kila ukibofya link unapelekwa sehemu hazieleweki, unajikuta unahangaika kucancel matabs tu kwenye browser. Web ya Madeberiya ilinishindaga kwa hii kero.Zipo mkuu hakuna web inayokosa ads
Tumia brave browser mkuu kuingia medeberiyaaKuna web zingine zinazidi mkongwe, kila ukibofya link unapelekwa sehemu hazieleweki, unajikuta unahangaika kucancel matabs tu kwenye browser. Web ya Madeberiya ilinishindaga kwa hii kero.