Series (Special thread)

Series (Special thread)

Single kuna american made
 

Attachments

  • 5A04BC4E-E8BD-45EF-A862-E62D4F5A3221.png
    5A04BC4E-E8BD-45EF-A862-E62D4F5A3221.png
    3.5 MB · Views: 10
Hapana, yule mshua ana tabia ya kumchukulia poa Jackal tangu series inaanza, yeye binafsi aliamini kuwa Bianca akipewa taarifa za mahali alipo Jackal basi anaweza kufanikisha kumuua Jackal. Lengo lake lilikuwa baada ya Bianca kumuua Jackal basi Bianca nae apotezwe hukohuko Spain.

Pia Zingatia, Bianca alipewa order ya kumuua Jackal, sio kumtia nguvuni, idea ya kumtia nguvuni Jackal ndiyo iliyomuua Bianca na ndio iliyofelisha mkakati wa yule mshua.
Series kali sema wamezingua kuweka maudhui ya ushoga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom