Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kususa susa kwa huyu jamaa ndio sababu tunaisubiri season 3 mwaka 2026!
169875c4e267cf00c7bd113ef6acb0b8.jpg
 
Aiseee,sasa vibali vya kuonesha movie mbalimbali inakuaje au ni illegal kama app zingine
Sio illegal wanachofanya hao ni kuchukua movie kwenye website mbali mbali na kuweka kwenye app Yao ila kisheria hata sisi tunafanya wizi maana ilitakiwa tununue movie 😃😃 kwenye site official kama Netflix, HBO, Amazon prime,hulu,Pluto,

Ila kwa Dunia ya sasa hauwezi kukataza watu kuiba movie kwenye site mbalimbali ndio maana Kuna Utorrent kama pirate bays na yts kazi zao ndio kuiba domain za movie na series mbalimbali duniani
 
Series Nzuri Za Ku-Follow Kipindi Hichi 2024

•Get Millie Black (Inatoka Kila jumaa3)
•The Agency (Inatoka Kila Ijumaa)
•Dune: Prophecy (Inatoka Kila Jumaapili)
•Silo (Inatoka Kila Ijumaa)
•The Day of the Jackal (Inatoka Kila Alhamis)
•Special Ops Lioness (Kila Jumaapili)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom