Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,310
- 79,963
Huwa natumia HD quality ya mwisho kabisaMbona mi ya 8 niliipata hapohapo onstream? We umechukua ya quality gani?
Ni kweli. Hata kwangu pia.Hata mimi huwa natumia Onstream toka niijue, ila episode ya 8 haikuwekwa, waliirudia ile ile ya 7. Labda kama walibadilisha baadae.
Nilipenda uigizaji wake kwenye series ya Fallout. Before that nilikua simkubali kiuigizaji isipokua kananivutia na muonekano wake.View attachment 3169364
Itafute mtu wangu
Inatoka ijumaa hiiJackal ikipandishwa nistueni Vincenzo Jr
Yupo pia kwenye yellow jacket piaNilipenda uigizaji wake kwenye series ya Fallout. Before that nilikua simkubali kiuigizaji isipokua kananivutia na muonekano wake.
Exactly 💯 brotherYule mzee angekuwemo pia mambo yangekuwa bomba sana
ep 09 iko kwa hewa🔥🔥🔥Jackal ikipandishwa nistueni Vincenzo Jr
Tayari kaka tupe EP ya 9Jackal ikipandishwa nistueni Vincenzo Jr
Watu weeuuweeeee hivi si walisema watatupatia mbili? Imekuwaje tena
Wameona tunafaidi sanaWatu weeuuweeeee hivi si walisema watatupatia mbili? Imekuwaje tena
😁😁😁