Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
Ni yeye kakaHivi ndio ameigiza kwenye the woman king?
Ni yeye kakaHivi ndio ameigiza kwenye the woman king?
Kaka haujawahi kula mademu weusi?Mi mbona namuona wa kawaida sana
Naam exactly brotherBianca anasababisha makaburi yaliyo funikwa zamani yafukuliwe kwenye episode 8
😂😂😂😂 ila nyampindi uko mkoa gani mkuu wangu??Ndio nni mkuuu hyo unlimited???
Pili nashukuru sana kwa series ya jackal kwakweli nzuri sana ila kwenye MB SSA MHHH HATARI SANA
Mkuu, the cross naona inaenda kunishinda jamaa naona kama ame overacting, ilitakiwa ata ianze kwa kuonyesha uo ushujaa wa kazi zake zilizopita
Episode ya 2 lakini sioni msisimko wowoteMkuu, the cross naona inaenda kunishinda jamaa naona kama ame overacting, ilitakiwa ata ianze kwa kuonyesha uo ushujaa wa kazi zake zilizopita
Usiiikatie tamaa endelea nayo Mimi nimeimalizaEpisode ya 2 lakini sioni msisimko wowote
Endelea nayo utaona jinsi Alex cross alivyopiga kaziMkuu, the cross naona inaenda kunishinda jamaa naona kama ame overacting, ilitakiwa ata ianze kwa kuonyesha uo ushujaa wa kazi zake zilizopita
Achana nao kisa kitakuwa kimewachanganya wanasingizia hawauoni msisimkoEndelea nayo utaona jinsi Alex cross alivyopiga kazi
Kabisa kaka dah eti mpaka mwaka 2026 na sijui kama nitafika 😀😭 Leo eti tunasubiria Liones seriesJumapili kama hii mkuu Vincenzo Jr tayari tulikuwa tushapata episode moja ya series ya From
Sasa hivi ni alosto tuu🤣
Exactly 💯 brother Ina maana hawaoni harakati za Alex cross😀😀Achana nao kisa kitakuwa kimewachanganya wanasingizia hawauoni msisimko
Niliicheki season 1. Kwangu ipo kawaida. Nashauri mtu aangalie kama hana series nyengine ya kufuatilia.Season 2 tupo EP 7View attachment 3166645
😀😀😀Dah! Ila ipo gudi sana hiiNiliicheki season 1. Kwangu ipo kawaida. Nashauri mtu aangalie kama hana series nyengine ya kufuatilia.
Ipi kali unaielewa turuke nayoNiliicheki season 1. Kwangu ipo kawaida. Nashauri mtu aangalie kama hana series nyengine ya kufuatilia.
Yah😀😀😀Dah! Ila ipo gudi sana hii