Series (Special thread)

Series (Special thread)

The Americans ndo nzuri maana haipo Biased. Inaonyesha kabisa warusi walikuwa wapo vizuri kwenye ujasusi hapo Marekani.

Na pia ilikuwa inaonyesha maisha halisi ya Spies, jinsi wanavyoishi na jinsi wanavyofanya kazi zao bila kugundulika kirahisi.
Exactly 💯 brother afu ilikuwa kipindi kile cha vita za Cold War ilikuwa ni matumizi ya akili sana na mrusi akashinda vita ndio maana warusi wapo vizuri sana hadi Leo hii
 
Episode ya tisa the Jackal bado tu🤕...wakuu nataka nianze kua Mr lover lover. Nipeni kazi moya full mapenzi yaani mikito na malavidavi mwanzo mwisho niishi nayo leo hadi weekend 😇
 
20241205_101932.jpg

Itafute mtu wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom