Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ndio nni mkuuu hyo unlimited???
Pili nashukuru sana kwa series ya jackal kwakweli nzuri sana ila kwenye MB SSA MHHH HATARI SANA
Unlimited ni internet bila kikomo mkuu yaani isp wako kama mmeeelewana mbps 20 kwa elfu 50 hiyo ndio kasi utapata kama kwa mbps 100 laki mbili hiyo ndio kasi utakayo pata isp ndio hao watoa huduma za mtandao mfano Airtel na mitandao mengine na Kuna fiber mfano zuku na liquid na Simba fiber
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom