Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hatari sana mkongwe!
Kuna kipindi utazoea kuangalia, utajikuta ghafla tu umeacha habari ya kupeleka mbele scene za namna hiyo (that's how brain works).

Miaka ya nyuma movies au series za ACTION ilikuwa hauwezi kukuta ujinga wa mapenzi ya jinsia moja.

Hii kitu ya The Jackal ni ya moto sana, ilifanikiwa kuteka hisia zangu. Mara paaap, episode ya 6 hiyo 🤮🤮🤮🤮.
Mimi huwa nikiona series ya aina hii pengine naweza hata kuifuta kwenye pc yangu upinde wanatuharibia sana movie na series walianza hadi kwenye last of us aisee mpaka Leo ile series kile kipande sikutazama tena nilivuka EP nyingine
 
Hatari sana mkongwe!
Kuna kipindi utazoea kuangalia, utajikuta ghafla tu umeacha habari ya kupeleka mbele scene za namna hiyo (that's how brain works).

Miaka ya nyuma movies au series za ACTION ilikuwa hauwezi kukuta ujinga wa mapenzi ya jinsia moja.

Hii kitu ya The Jackal ni ya moto sana, ilifanikiwa kuteka hisia zangu. Mara paaap, episode ya 6 hiyo .

Ishafika ep 8
 
Kwa pisi hamna, kwanza hata mapenzi hawafanyi, kama unapenda mambo ya harakati basi karibu ujionee jinsi binaadam anavyopambania uhuru wake,

Nipo season 2, ep 2.

Shukrani ngoja niishushe season 1
 
Hii silo season 2 inavuja sana watu wao wa marketing wapo hovyo sana eti wakubwa wameshaidaka EP ya 4 na ya 5 wanazo mda si mrefu wanavujisha mtandaoni
Ila unajua huu upuuzi wa kutoa kipande kimoja kila wiki unatutesa sana watu mkongwe.
Me nawakubali sana NETFLIX, japo nao naona wamefanya huu upuuzi kwenye ARCANE.
 
Ila unajua huu upuuzi wa kutoa kipande kimoja kila wiki unatutesa sana watu mkongwe.
Me nawakubali sana NETFLIX, japo nao naona wamefanya huu upuuzi kwenye ARCANE.
Series zinazotoka Moja Moja wanatageti kupiga pesa ndefu sana mfano mzuri ni the penguin na presumed innocent Kila kipande wanakula watazamaji wengi Sana tofauti na wanazotoa full mda mwingine zinabuma
 
Imevuja mtandaoni Cc Mr Q Carleen




The-Agency-768x1187.jpg
 
SERIES.

Ngoja niwabless leo

1. GAME OF THRONES
2. STRIKE BACK
3. PRISON BREAK
4. THE ORIGINALS
5. VAMPIRE DIARIES
6. WITCHES OF EAST END
7. THE DOM
8. BLACKLIST
9. ARROW
10. NARCOS
11. POWER 2
12. POWER
13. EMPIRE
14. BLOOD AND TREASURE
15. CITADEL
16. OVAL
17. HARLEM
18.WITCHER
19. SUPERMAN AND LOIS
20. THE DIPLOMAT
21. HELLBOUND
22. FATE. THE WINX SAGA
23. SHAMELESS
24. 24
25. SHE HULK
26. TERMINAL LIST
27. THE OLD MAN
28. VAN HELSING
29. WHAT HAPPENED TO FRIDAY
30. WEDNESDAY
31. THE SAND MAN
32. MIKE
33. MIDNIGHT CLUB
34. SNOWPIECER
35. LOST
36. MOON KNIGHT
37. LOKI
38. HAWKEYE
39. MISS MARVEL
40. BLACK KNIGHT
41. THE WHEEL OF TIME
42. GOD FRIENDED ME
43. SUPACELL
44. DESIGNATED SURVIVOR
45. MANIFEST
46. HOUSE OF DRAGONS
47. SHADOW HUNTERS
48. VIKINGS
49. GROWN-ISH
50. THE FLASH
51. LUCIFER
52. FATAL SEDUCTION
53. GANGS OF LONDON
54. PEAKY BLINDERS
55. THE BIG BOYS
56. YOU
57. RAECHER
58. FUBAR
59. SUPERNATURAL
60. PUNISHER
61. DARE DEVIL
62. LACASA DE PAPEL
63. BANSHEE
64. WARRIOR
65. SISTAS
66. 24. THE LEGACY
67. SUCCESSION
68. TRUE BLOOD
69. SMALLVILE
70. THE FALCON AND THE WINTER SOLDIER
71. AGENT CARTER
72. AGENT OF S.H.I.E.L.D.
73. STRANGERS THING
74. FALLOUT
75. SQUID GAME
76. JUMONG
77. SCANDAL
78. DATED AND RELATED
79. SUITS
80. AMERICAN GOS
81. PRETTY LITTLE LIARS
82. GOSSIP GIRL
83. GOTHAM
84. ALL AMERCAN
85. BEL AIR
86. THE CHI
87. LORD OF THE RINGS
88. COMMAND IN CHIEF
89. 24. REDEMPTION
90. ALL OF US ARE DEAD
91. THE GOOD DOCTOR
92. NEW AMSTERDAM
93. NIKITA
94. FRINGE
95. OUTLANDER
96. THE LAZARUS PROJECT
97. BLOODHOUNDS
98. QUEEN OF THE SOUTH
99. EL CID
100. THE 100


Movies nazo zinakuja Stay tuned
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom