Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sasa wewe ktk mazingira ya kawaida unaweza kuacha kuangalia james bond movies upoteze muda kuangalia watu wanao paa? Mara wanatoka myoto kwenye viganja vya mikono n.k

Muvie za hivyo nnazo zikubali ni DEAD POOL tu. Na sasa wamatuletea nyingine inaitwa DEADPOLL&WOLVERINE humo kuna mkong'oto licha ya kwamba wameongezea na manjonjo ya computer ila mkono wa humo unaeleweka
Unaanzaje kuangalia movie cover lake jamaa kavaa pensi yupo ufukweni
 
Unaanzaje kuangalia movie cover lake jamaa kavaa pensi yupo ufukweni
Ona kama huyu karembua ila vijana sasa wanaipenda balaa
1726070895155.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom