synthesizere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2019
- 882
- 1,264
Chief msaada link ya kudownload series ya dark (2017)Duh Mimi vijana waliiba TB 4 yangu aisee ilijaa Data kibao
Chief msaada link ya kudownload series ya dark (2017)Duh Mimi vijana waliiba TB 4 yangu aisee ilijaa Data kibao
Pirates bay kama ni kompyutaChief msaada link ya kudownload series ya dark (2017)
Kwa simu? Pirate bay inanisumbua kushusha vituPirates bay kama ni kompyuta
Ni hatari unamkuta mzee mike emantrautKule kaka Kuna harakati za wahuni wa mexico evil kama Salamanca gus fring best villain of all time Kuna kina don eladio series kalii sana hiyo 😎🔥🔥
Wale wahuni wenye vipara 😂😂Na wale vijana mapacha wa mexico wana balaa sana
Sawa mkuu ngoja nianze kushasha pamoja na subtitles kabisa lisinipite jamboHuo mzigo ni balaa...ila kama hujasoma vitabu vyake, season 1 inaeza kuwa boring kiasi fulani.
Ila ukijikaza ukaimaliza ukaanza season 2, hapo ndo utaanza kuona mikiki yenyewe sasa.
Ok mkuuUtapata burudani stahili ina seasons 8 kama sikosei
Ugreatness unaanzia hapo kwenye kuirudia mara mbili. Unadhani series kama FROM unaweza kuirudia mara mbili?Hiyo series me mwenyewe sijaona kabisa huo u greatness tunaoambiwa mpaka nishairudia mara ya pili nkifikiri labda me kuna mahala ndo sijaielewa lakini wapii naona ya kawaida kabisaa.
Ni ile ya madaktari na tafiti zao? Kama ni hiyo niliifuatilia sana miaka ya 20 kumi na kitu nikiwa kozi fulani collejiView attachment 3092274
Itafute mtu wangu 😎
Mule nasikia kuna farasi wenye mabawa sasa sijajua raha utaipafaje kwenye series za namna hiyo.Wakuu nimeshacheki series nyingi ambazo zinasifika apa duniani lakini sijacheki Game of throne !
Vp nikijilipua kuicheki hii series nitapata burudani stahiki??
Yani mikiki nikaisubiri season two? Mi series za hivyo hapana asee. Season 1 inapaswa kukupa hamu ya kutafuta season 2 na kuendeleaHuo mzigo ni balaa...ila kama hujasoma vitabu vyake, season 1 inaeza kuwa boring kiasi fulani.
Ila ukijikaza ukaimaliza ukaanza season 2, hapo ndo utaanza kuona mikiki yenyewe sasa.
Zile reviews zinafanya mtu unajishtukia mwenyewe 😂.Hapo niliirudia baada ya kuona ni ya kawaida tofauti na inavyosifiwa nikahisi labda mimi kuna details ndogondogo nilizikosa nikaamua niirudie kwa umakini, lakini wapii.Ugreatness unaanzia hapo kwenye kuirudia mara mbili. Unadhani series kama FROM unaweza kuirudia mara mbili?
Shida ya GoT season 1 ni kwamba, ina introduce characters wengi ambao wapo maeneo tofauti tofauti kwahiyo inakua ngumu kufatilia kwa umakini kinachoendelea unless uwe umesoma vitabu na pia story inakuwa kama iko disconnected na ndicho hicho wengi kinawatoa kwenye reli.Yani mikiki nikaisubiri season two? Mi series za hivyo hapana asee. Season 1 inapaswa kukupa hamu ya kutafuta season 2 na kuendelea
😂😂😂 We jamaa hata muvi za supehero kwenye jukwaa la MCU waga unawapa za uso kule 😂Mule nasikia kuna farasi wenye mabawa sasa sijajua raha utaipafaje kwenye series za namna hiyo.
Sasa wewe ktk mazingira ya kawaida unaweza kuacha kuangalia james bond movies upoteze muda kuangalia watu wanao paa? Mara wanatoka myoto kwenye viganja vya mikono n.k😂😂😂 We jamaa hata muvi za supehero kwenye jukwaa la MCU waga unawapa za uso kule 😂
Naam ni balaaNi hatari unamkuta mzee mike emantraut
Chief msaada link ya kudownload series ya dark (2017)
todaytvseries.one
😂😁Wale Wanabalaa sana wazee wa maelekezo kutoka juuWale wahuni wenye vipara 😂😂
Walimpekekea moto Hank
Yeah Mimi Kila ikifikaga mwezi wa 9 Kila mwaka nairudiaga hiii kaka 😎Ni ile ya madaktari na tafiti zao? Kama ni hiyo niliifuatilia sana miaka ya 20 kumi na kitu nikiwa kozi fulani colleji
Hivi hiyo shogun inahusu nini naona inawekwa level moja na GoT😂😁Wale Wanabalaa sana wazee wa maelekezo kutoka juu