Series (Special thread)

Series (Special thread)

HUGHIE ametoa macho tuuh A-train alifanya unyama sana kwenye hii screen alafu hata msamaha hakuomba
 
Attachments

  • 20240905_114151.jpg
    20240905_114151.jpg
    270.1 KB · Views: 17
Aise kama hujatazama series inayoitwa ozarks ndugu yangu naomba ufanye hima upate burudani stahiki
Kilicho nifurahisha mle ni namna ambavyo mtu unaweza kuwa na pesa nyingi na zisikutie ukichaa. Yani unaona kama vile umebeba nguo kwenye begi tu kumbe ni mabulungutu
2. Namna yule mzee alivyo chomoka kwenye kesi kwa kufukua miilia ya mababu zake na kuibadilisha na mifupa ambayo ingemtia hatiani.
3. Nilisikitishwa na yule mzee kufariki baada ya kuteketeza shamba la mazao yanayo tumika kutengeneza madawa ya kulevya
4. Nilipenda namna ambavyo mtu anavyo weza ku ingiza fedha haram kwenye mifumo rasmi na nnaamini hata haya makasino makubwa kwenye nchi fulani huwa yanatumika kutakatisha vibunda
 
Naunga mkono hoja
 
Nimekubali jinsi marty(jason bateman)alivoweza kuwa calm na kuwa na mbinu elfu elfu za kutatua tatizo ili kuibadili future ya familia yake
Pamoja na kuwa na pesa nyingi zikiwemo za cartel jamaa aliweza kuishi kikawaida sana
Pia Ruth langmore alitisha sana kwa uigizaji mahiri pamoja na umri wake mdogo
Darlene ni mwanamke ambaye she's proud of herself na ukishamtishia anakulipua hapo hapo bila kujali wewe ni nani!
 
Kilicho nifurahisha mle ni namna ambavyo mtu unaweza kuwa na pesa nyingi na zisikutie ukichaa. Yani unaona kama vile umebeba nguo kwenye begi tu kumbe ni mabulungutu
2. Namna yule mzee alivyo chomoka kwenye kesi kwa kufukua miilia ya mababu zake na kuibadilisha na mifupa ambayo ingemtia hatiani.
3. Nilisikitishwa na yule mzee kufariki baada ya kuteketeza shamba la mazao yanayo tumika kutengeneza madawa ya kulevya
4. Nilipenda namna ambavyo mtu anavyo weza ku ingiza fedha haram kwenye mifumo rasmi na nnaamini hata haya makasino makubwa kwenye nchi fulani huwa yanatumika kutakatisha vibunda
Mbona kma ilinishinda kuanhali nikaishia session ya 2 tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom