Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sijui kama kuna mtu amesanuka na huu mzigo , tupo Season 2 episode 2
 
Attachments

  • 20240913_183345.jpg
    20240913_183345.jpg
    110.7 KB · Views: 19
Nimeamua kuishusha presumed innocent kwa mara ya pili baada ya kuifuta sasa OLE wenu nikute sio nzuri
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Kaka ni kalii sana hiyo bonge la story yule jamaa rusty sabich kapata tabu sana kumbe dogo alie ua ni yule mwanae wa kike Jaden ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Kaka ni kalii sana hiyo bonge la story yule jamaa rusty sabich kapata tabu sana kumbe dogo alie ua ni yule mwanae wa kike Jaden ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜
hapa naweza icheki Sasa maana ilikuwa inanivuruga sana, jamaa alikuwa hana cha kujitetea kila kitu kinaonyesha yeye ndiyo kaua
 
hapa naweza icheki Sasa maana ilikuwa inanivuruga sana, jamaa alikuwa hana cha kujitetea kila kitu kinaonyesha yeye ndiyo kaua
Jaden sabich ndio alie muua Carolyn Polhemus na yeye baba mtu siku ya kufika kwenye tukio akaiishia kumfunga kamba marehemu ile series kalii sana kilicho mfanya dogo Jaden aue ni yule bidada kuwa na mazoea na baba yake afu akawa anajifanya ntu asiyekuwa na hatia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
View: https://x.com/FROMonMGM/status/1834608251486302429?t=9Kb4clH0SQE1nFRLFg-afQ&s=19

Zimebakia siku 9 mtu wangu ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜Ž

"If you see old lady tapping at your window put the blind walk away" ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€huyo old lady anakuaga na tabasam flani hivi kama mtu mwema vile kumbe daahhh
 
"If you see old lady tapping at your window put the blind walk away" ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€huyo old lady anakuaga na tabasam flani hivi kama mtu mwema vile kumbe daahhh
Naam ni balaaa sana ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
The wire.

Hii series tamu sana, sasa hivi nimeanza kutafuna episodes kama sina akili vile.
 
Leo nmemaliza kuangalia better call Saul, for the first time nimemuona Gus Fring anahema kwa hofu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ macho yamemtoka na kijasho chembamba kakutana na namba chafu Lalo.

Lalo Salamanca, huyu jamaa ni monster aisee, Gus nusura ajikojolee ๐Ÿ˜‚.

Salamanca's hii familia ya ni ya vichaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom