Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Mbona sielewi hapa.. diamond kazomewa mnamrukia kiba mbona uonevu huu nyie watu..
 
Principle ya Watanzania ni kwamba ukipanda juu lazma wakushushe

Watanzania ! kwa ushahidi upi....hili ni tatizo za ngozi nyeusi wengi wa Africa.....ndio maana weusi wanaofika next level ni Wamarekani na Ulaya...

Serena Wlliam angezaliwa bongo kamwe asingekuwa hapo alipo.

Ngoja Hashim arudi Bongo uone...unadhani roho zetu zinafurahia sana hapo alipofika ?

Kumbuka Kanumba alipojikongoja na kunusa Hollywood, habari ilipotufikia tu team Shigongo waliongoza mashambulizi huku tukiomba Miungu yote tunayoijua kuhakikisha anachodhamiria kisitokee....alipofariki ni walewale tena tuliorudi na kulia kwa uchungu na bidii ile mbaya huku mioyoni tukisema "asante Mungu"

Ukitaka kutafuta wadhamini wa kuchafua mtu wala hupati taabu....Muumini akihitaji pesa akarekodi nyimbo ya kumtukana Asha, anapata mpaka ziada.

Kiba wamemtumia tu kama chambo, lakini lengo lilikuwa tu ni kumnyong'onyeza dogo (kwa hao wenye malengo/sababu zao)...hakuna ushahidi wowote kuwa watanzania huendelea kumuunga mkono mwenye mafanikio kwenye eneo lolote, hata Lyatonga na kuwahi kukubalika kote leo hii anabezwa....

Kwa kifupi hata huyo Kiba wanaojidai wanamtaka leo, naye atarudi kwenye adha hiyohiyo coz hao ndio wabongo.
 
Mara nyingi Jeshi huwa linawaonea wananchi bila sababu ya msingi.Wanajeshi huwa wanajiona wao ni watu wa kipekee sana sababu tu ni wanajeshi.Ndio maana ni Tanzania tu ambapo mwanajeshi anapanda kwenye basi bila kulipa nauli,nilishuhudia siku moja mwanajeshi akimpiga makofi kondakta wa daladala eti kwa kumdai nauli, kwa kuwa alivaa koti, kondakta hakuona sare zake.Hata hili la kuwaadhibu wanaovaa sare zinazofanana na jeshi ni muendelezo wa dharau za jeshi kwa raia

hv unajua process mtu anazopitia mpk kupata mamlaka ya kuvaa kombat? Unaijua depo wewe?
 
Jaslaws at his his/her best!

Alichukuliwa na yule mpiga picha maarufu kama msomali sijui Raqi sijui miaka ile wakasaini na mikataba, yeye awajakaa hata week mbili kahama kahamia kwa RuGE mara ruge kama babu tale hata atuelewi ni fitna gani ilipita, ss yanayomkuta ss hvi muache tu yampate dogo hana msimamo! Usikute huyo diamond kasoma kuliko hata manager wake babu tale
 
Last edited by a moderator:
Ali kiba ana kabahati ila naye aache kuvaa skuna sijui moka zile. ..atoke kistaa mambo ya kuvaa kama mwalimu mpya wa shule ya msingi jukwaani siyo mpango. ...diamond achukulie poa kuzomewa kwani wahudhuriaji wa fiesta tunawajua watu wa design gani,ndo maana daladala huwaga nyingi leaders,tunakumbuka mlimani city balaa ulilolifanya
 
Kuna muda mwingine naamini kabisa binadamu ndio mnyama pekee ambaye ni vigumu kumchunguza maana yeye kila muda tabia ina badilika!
Hawa walio mzomea Diamond pengine ndio walio. mshangilia fiesta iliyopita!

Najua hii habari ya kuzewa kwa Diamond itawafurahisha GPL na itakuwa front page magazeti yao!

Diamond najua ameumizwa na hichi kitendo lakini anatakiwa kuhakikisha hizi hisia zake zisimgombanishe na watu wake kabisa na anatakiwa kujua wahuni wengi wako Dares-salaam hata asingezomewa yeye lazima kuna mtu angezowewa na haiwezekani kabisa watu wakushangilie kila Leo!

Kwakweli Mimi nilitegemea sana kati ya Alikiba au Diamond Lazima kuna mmoja angezomewa kabisa kwakweli nilisikitika sana kile kitendo yaani as if Diamond si msanii wa Tanzania vile!

Kwakweli kile kitendo kili niuma na niliamua kuzima runinga nikawa na fatilia kupitia jf tuuu duu aiseee hakuna kazi ngumu kama kuwa Msanii mkubwa Tanzania!

Diamond usikate tamaa!
 
Hivi pro Diamond mnakuwaga wapole kama hivi haswa jamaa yangu el nino.El nino leo nimekukubali, leo hata matusi hayatoki kinywani mwako.
 
Kuna muda mwingine naamini kabisa binadamu ndio mnyama pekee ambaye ni vigumu kumchunguza maana yeye kila muda tabia ina badilika!
Hawa walio mzomea Diamond pengine ndio walio. mshangilia fiesta iliyopita!

Najua hii habari ya kuzewa kwa Diamond itawafurahisha GPL na itakuwa front page magazeti yao!

Diamond najua ameumizwa na hichi kitendo lakini anatakiwa kuhakikisha hizi hisia zake zisimgombanishe na watu wake kabisa na anatakiwa kujua wahuni wengi wako Dares-salaam hata asingezomewa yeye lazima kuna mtu angezowewa na haiwezekani kabisa watu wakushangilie kila Leo!

Kwakweli Mimi nilitegemea sana kati ya Alikiba au Diamond Lazima kuna mmoja angezomewa kabisa kwakweli nilisikitika sana kile kitendo yaani as if Diamond si msanii wa Tanzania vile!

Kwakweli kile kitendo kili niuma na niliamua kuzima runinga nikawa na fatilia kupitia jf tuuu duu aiseee hakuna kazi ngumu kama kuwa Msanii mkubwa Tanzania!

Diamond usikate tamaa!

Apunguze ujinga wake.....yeye anaona huyo Wema na wenzie wanampandisha kumbe ndo wanaomshusha.Heshima ni kitu cha muhimu,ukikosa discpline katu huwezi fika mbali.

Juma Nature hakuwepo kwenye fiesta lakini ngoma yake ilipigwa watu waliruka kiwanja chote.

East coast waliposhindana na Tmk enzi hzo watu wakawa wanaishangilia sana Tmk kwa kusema hawajivuni na wa uswazi wenzao.
Diamond anapaswa ajishushe na sio kujikweza kama afanyavyo.
 
Back
Top Bottom