nampenda bluuuuuu jamani
acha tu
Namsubiri aliyeimba sinderera
ally kiba atashangiliwa sana, ila atakapokuja Diamond dunia itasimama kwa dakika 5
Namsubiri aliyeimba sinderera
haingii kwao mpaka wampime huyooo
Namsubiri aliyeimba sinderera
ila mkuu ni bora hata hvyo..yani ikipigwa live band na wasanii wetu hawa show utaichukia mbona
Atoke ....ashanibore na playback zake