Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Hizo sababu zenu za kutunga hizo haha..Dimond alidharau lini au mkate mdogo anaoupata unawaumiza sana

namheshimu sana diamond kwa kutupeleka next level
namdharau pia kwa kauli zake na anapenda sana magazeti misifa haya
waliompandisha ndio wanaomshusha
 
Kiukwel mi nmefurah sana..diamond kwel inawezekana mi mwanamzk mzuri lkn hatakiwi kuwa na dharau...halaf tatzo lake kubwa ni ana uswahili mno...anatakiwa akue sasahv...kufanikiwa kimziki haina maana unaibeba dunia...kumbuku Mr. Nice.......
 
kwan kulikua na ulazma wa kumshanglia huyo dai pekee..me mwnyw ningekuepo fiestan ningemzoea afu sna sababu ya mcng zaid ya kua smpend tuuu...yan smpnd tuu

Bora ww ni hater ambaye unakiri hauna sababu kuliko yule anayesingizia sababu mara dharau, mara wema sepetu
 
Mmmhhh katia huruma haswaa!!!
watu wangu wa kinondoniii mpoo ?watu kimyaaaaa!!! kiba kiba teh dogo kaaibika mbaya!!
Bora hajampandisha wema wake angeaibika zaid!!!!

Wabongo wanapenda mtu asifiwe hata kama kaharibu.....ukikosoa tu basi utaitwa hater.Diamond kamkosea sana Kiba kwa kauli ya kashfa na dharau dhidi yake,hata kama yeye yupo juu ya Kiba lakini aangalie kauli za kuongea.

Kifupi diamond ni mshamba,show off kibao......hata akimnunulia mama yake chu.pi basi yeye na Tale wake wanaita waandishi wa habari.Mnxxxxx
 
Kiukwel mi nmefurah sana..diamond kwel inawezekana mi mwanamzk mzuri lkn hatakiwi kuwa na dharau...halaf tatzo lake kubwa ni ana uswahili mno...anatakiwa akue sasahv...kufanikiwa kimziki haina maana unaibeba dunia...kumbuku Mr. Nice.......

Amemdharau nani aseee mahaters bwana
 
pole diamond take it az a challenge naamini ndio itakufanya uwe more strong.
 
Wabongo ndio zetu kuwa- discourage wanaofanya vizuri , But the fact remain Diamond keshakuwa wa Kimataifa ! hizo kelele hazisaidii lol Nampenda Ali Kiba pia namshauri asipate Bichwa kisa kelele za wahuni Fiesta !

sio rahisi kuamini whats happening pia sio rahisi kusema eti watu wote wana chuki na Dimond..lets wait time will tell
cc: mr nice
 
Yaani kiba amsaidie Dimond hahah....wakati hata hili shangwe analolipata ni kwaajili ana bifu na Diamond huyo alikiba wenu angekuwa na Bifu na Barnaba au Bob juniour angesahau hata kupata shoo[/QUOT


Kiba yupu vizuri kuliko Diamond kimziki. ila kinacho muweka juu Diamond ni kutumia ipasavyo fulsa anazo zipata. lakini kama wewe ni msikilizaji wa mziki mzuri utagundua CHIBU ukimuweka hata na BEN POL basi Ben pol utajua anafanya mziki mzuri.

uzuri wa kiba ninacho mpendea ni SAUTI yake. mimi huwa namini Kiba kwa sauti yake ni marighafi tosha kwake...
CHIBU huyu jamaa yeye anajua jinsi ya kumiliki jikwaa. yani ukiangalia unasikia raha..

KIUHALISIA kimziki Kiba yupo vizuri. Mimi napenda kitu anacho fanya Diamond kwa sasa

Kuwa mwanamuziki mkali inahitaji sababu nyingi za nje ukiachana na sauti..kwa pointi yako hiyo ni kwamba Davido ana sauti nzuri kushinda 2face Idibia??
 
Ajiulize inspector haroun na Juma nature wapo wapi??!

Exactly!.... Umeona ehh! Watu wenye mafanikio wanajua kuwa usiwaachie watu wamanage maisha yako.



Mfano unaoweza ukawa hai au la:
Kuna mzee alikuwa ni mwalimu brooklyn, marekani. Alikuwa ni mzee mtaratibu ukilinganisha na mahali anapokaa. Alikuwa ana tabia ya kubeba lunch box kila anapokwenda kazini. Pamoja na vurugu zote pale watu walionekana wanampenda. Wahuni wote 'walionekana' wakimheshimu. Siku moja, akiwa anarudi alikutana na vijana wanne walewale wanaomsalimia wakiwa wamemshikia kisu. Wakamzunguka.
Basi yule mzee alifungua ile lunch box akatoa bunduki...

Anyway, huyu mzee kila siku alikuwa anatembea na bunduki kwenye hiyo lunch box ndo maana hakuwa akiiacha. Alifahamu unafiki wao ingawa aliwapenda wote.

Aliyekuwa akisimulia hadithi hii alimalizia;
"You see, that oldman really loved the people, but from the first day, he never trusted them".

Out of topic. But this explains that, nobody deserves your trust, n' you should be ready for peoples hypocracy!
 
We kubali tu diamond kakalishwa na kiba kama kweli unampenda domo mshauri aache kutukana wakubwa zake na asilewe sifa pia usisahau hii methali mcheza kwao hutuzwa na tabia njema huanzia kwenu
 
Mnatakiwa kujua ni vigumu kumpangia shabiki afanye nini na amshangilie nani!
Clouds hawawezi kufanya huu ujinga mnaojaribu kuwahusisha nao kabisa ...ina maana walipanga watu wote wale kumzomea Diamond? Angezomewa Alikiba ungesema ni Diamond ana husika au Clouds media?

Clouds hawawezi kufanya huu ujinga wa kuharibu show yao wenyewe..!

kwanza mnatakiwa kujua kwa Dares-salaam kitu kama hiki lazima kingetokea na pengine hata Kiba ange zomewa maana Dares-salaam kuna upinzani mkubwa kati ya mashabiki wa Diamond na Alikiba hivyo hili ni jambo la kawaida!

Diamond anatakiwa kuchukulia hili ni jambo la kawaida msanii kuzomewa maana si kila mashabiki watakupenda wakati wote na ni vigumu kuwapangia mashabiki chakufanya!

Hili jambo lisimfanye Diamond akaongea maneno mengi yatakayo sababisha kugombana na watu bila sababu!

"Usishangae kushangiliwa na usishangae kuzomewa"

Hila clouds media kuna tatizo la wataalum wa sauti na hilo ndilo la kufanyia kazi ..
 
Back
Top Bottom