el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,064
Ukitaka kuuliza huyo Diamond kawafanya nini watakuambia ni dharau? Je hizo dharau alimfanyia nani na lini? Au kupata mafanikio kidogo ndio dharau? Pengine ndio maana wasanii wetu hawafanikiwi kwa sababu ya viwivu vya kijinga kama hivi.
Dharau za kutungatunga tu wabongo fitna nyingi sana