baraka muyabi
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 162
- 58
Mbona mm inagoma
Watu wanaacha kuimba wanarushana masarakasi.... Show zetu bure kabisa..
Ali Kiba akipanda stejini ushangilie × 2,I mean 1 unaniwakilisha mimi bestie....
le mutuz hapitwi,ila hapo TI anaogopa Ebola nini,maana hajashikwa beganiHivi huwa wanaonyesha kwenye TV
Mtu mzima huyu kama kawa kama dawa... lol
Usijali mie na wewe tena?
Hhhhhaaaa na leo akipoteza mtasema hapendi showoff hii ntakufa mbavu
naona tupogo remix ina mahadhi ya mchiriko