Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Wewe na mafukara wenzako wa manzese acheni wivu.. Mkikusanywa wote hamuwezi.kufikia hata robo ya mafanikio ya Diamond

Kwa utajiri upi?Tuache kuwaonea wivu kina mengi tuje tumuonee wivu mtu ambaye hana hata nyumba yakupumzisha viungo vyake baada ya kuzomewa???
 
Wewe na mafukara wenzako wa manzese acheni wivu.. Mkikusanywa wote hamuwezi.kufikia hata robo ya mafanikio ya Diamond
.Acha kashifa mkuu.Unatuchukuliaje watu wa manzese?una mahaba mazito na diamond mpaka unatu disi.tuna wasi wasi na wewe.sio chakula ya domo kwelii?
 
Daimond kwa hasira ataachia ile kolabo yake na treysongz very soon
 
Wala miguu na utumbo wa kuku wa Dar hawamkubali Diamond kwa sababu kawazidi kipata.. Sisi mabilionea wa Arusha tunamkubali sana Diamond

Kwahiyo Diamond kawazidi kipato kina Bakhressa, Mo dewji, Rostam, Mufuruki, Mzee Machache baba wawili na Karamagi?
 
Badilisha basi hiyo ID mkuu, wewe ni bilionea mkubwa sana Arusha na Tanzania ukijiita laki si pesa unajiangusha bora ujiite Trilioni si pesa.

hahaha..nimekusoma mkuu. Ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Kwahiyo Diamond kawazidi kipato kina Bakhressa, Mo dewji, Rostam, Mufuruki, Mzee Machache baba wawili na Karamagi?

Mkuu achana na huyu mtu atakuwa na matatizo ya uelewa!
Toka jana namuuliza yeye ni ke au me hajanijibu!
 
Back
Top Bottom