Serengeti fiesta 2014 special thread

Kinachomuumiza Diamond ni mafanikio yake Watanzania tunawivu wakike sana. Alikiba anaimba nini na kisauti chake kile Diamind is the best artist in Tz ndio maana kaitangaza Tanzania kimataifa. Watanzania tuache wivu mfyuuuuuuu.

hiyo Ni kweli ,diamond kwanza Ana moyo wakusadia jamii,mfano amempa mzee gurumo gari,etc,sio kitu kidogo mtu kitu
 
Mi nahisi anayoyafanya Ney na kuyaimba kwenye nyimbo zake yawe ya Daimond bila shaka angejua Maiti kitambo sana.
 

umesahau dharau ya kwamba mbeya hakuna hoteli ya hadhi yake sijui akienda kwao kigoma anafikia kwenye domo lake......
 

sasa niliwai kumsikia mwenyewe na masikio yangu redion akimwambia qchief kua kashapotea hawezi kushinfana na yeye kimziki kihela na kwa kila kitu kwa sasa yeye kashafulia
achilia mbali masela wake wa kko waliohastle nae kabla hajatoka maana mpaka leo wanamchukia jamaa kawapotezea wana wanabembeleza kolabo anawapotezea ndio maana wamejoin team kiba
 

mhhhh tutoane basi mkuu...million 900 si haba
 
that's true ILA mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe,tungekuwa na umoja WA kuzomea wanasiasa mafisadi wanaokula pesa zetu nafikiri tungefanya mambo la maana

Umeongea mkuu unajua hakuna nchi iliyojaa wazawa wenye wivu na chuki kqmq Tanzania,mimi binafsi sikuona haja ya kumzomea na pia kumtaja kiba wakati anayeimba ni diamond.Kama kweli hizo ni njama za kiba na clouds malipo ni hapa hapa pia watazomea fiesta mwenzao anatoboa majuu.Kama shida yao ilkua kumwaribia kwa wageni wale mbona ni too late Davido anamkubali sana jamaa na hawezi kuanza kukubali dushelele sijui just for one night.Na muone jinsi watanzania walivyo wanafiki wanamshangilia huyo kiba na kumpa kichwa wanaacha kumsapoti kwa mambo ya maana ajipange.Yaani kitendo cha jana kilinsikitisha sana lakini kwa mtu mwenye akili timamu anajua hizo ni fitina tu mwenzao yupo next level.Mimi ni die hard fan wa Diamond mika 10000 hata ashuke vipi kama wanavyomwombea watu pia kuna fans wake tunaomwombea mema cha msingi apige kazi asisikilize mazomeo ya machoko hao.
 

Mkuu mzurimie sote tunajua clouds ndo walimuua alikiba ili daimond apae,leo unasema wamemuhujumu..

SOTE tunajua clouds ndo mameneja wa diamond na ndo wamemfikisha hapo alipo,iweje useme wamemuhujumu..

Nyie ndo mnaokesha mkisema alikiba hana ela amefulia,sasa kapata wapi ela ya kukodi hao watu wakumzomea diamond.?

Angekua kiba ndo kazomewa ungesema diamind kakodi watu.???

Diamond n msanii mzuri lakin ana tabia mbovu ndo maaan watu hampend..
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa ukweli unabaki pale pale, Diamond yupo juu. Kama anavyosema mwenyewe, "mti wenye matunda ndio hupigwa mawe".
 

Maybe YES maybe NO....

Ila wote wako juu, kwa upande wa Diamond he should learn from this then..
 
Kwani wewe hawala yake daimond ee?
 
Na kwa nini alikua anarudia rudia kusema"Temeke na Kinondoni mambo VP?" Nahisi Ana tatizo na Ilala
 
diamond kama jaja tu,jaja alivyoifunga azam wakasema huyu ndio mwenyewe leo wanasema hana kitu kwishney so na domondo kwishney
 
nilikosana na mshikaji wangu siku aliponiambia ni shabiki wa Diamond, juzi karudi kuomba msamaha.

Roho mbaya zitawaua, piga au Diamond Platinum hamumpati! Leo ni jumapili lkn yeye anaingiza pesa wakati wewe unapiga fitina!
 
tatizo ni dharau na kujiona yupo juu ya tanzania mbona mwanzoni walikua wanambeba juu juu imekuaje jana itakua ametukana wakubwa waliotangulia

basi kama ni hivyo,ni halali yake kula za uso.ila nina wasi wasi mtoto wa ilala ali kiba kafanya fitina ya kusomba watu kwenye maroli ili kwenda kuendesha zomea zomea.si unajua tena kibongo bongo siasa ipo kila sehemu!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…