mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 771
Davido anabore soon naenda kulala
Usilale
Davido anabore soon naenda kulala
jamani nipo karbu na back stage hapa nasikia diamond analia
Yaani hii wala haihitaji phd ya Niki wa pili kutambua
jamani nipo karbu na back stage hapa nasikia diamond analia
Unawasifia kwamba wanajua umeona hawana kipya unasema tena wanawakomoa cloudsDavido na Diamond wameamua kuwakomoa Clouds leo ,
Mkuu are you serious analia nini sasa
hahahahahahahahahaha. mi nadhani itakuwa kawakomoa clouds tu
cause walichomfanyia si kitu kizur kabisa. wamemlimit nyimbo za kuimba
hahahahahahahahahaha. mi nadhani itakuwa kawakomoa clouds tu
cause walichomfanyia si kitu kizur kabisa. wamemlimit nyimbo za kuimba
Davido na Diamond wameamua kuwakomoa Clouds leo ,
Watu hawamuelewi.
Sasa hiyo ni ngeli ya Nigeria. Sijui ya U.S.A hapo watafanyaje mashabiki.