Umeanza starehe mwaka huu??? Toka lini uwanja ujae saa 2
Jaman live on TV saa ngapi?!
Mnh hili jibaba nalo halikosekani ilaukiangalia kwa umakini kwa hizo picha mbili hapo utagundua kitu
Umeanza starehe mwaka huu??? Toka lini uwanja ujae saa 2
Umeanza starehe mwaka huu??? Toka lini uwanja ujae saa 2
mkuu atakua first year huyo si unajua wameshafungua chuo na mara ya kwanza kwenda kwenye show
Anajifunza bata uyo... saa mbili hii uwanjan we mlinzi
watu wapo bar wanajipigilia konyagi..
Mida ya saa 6 mie ndo nitaenda sasa hivi bado sana
Ali Kiba akipanda stejini ushangilie × 2,I mean 1 unaniwakilisha mimi bestie....
Umeanza starehe mwaka huu??? Toka lini uwanja ujae saa 2